X XaviMessIniesta JF-Expert Member Joined Dec 18, 2017 Posts 2,231 Reaction score 2,778 Jul 6, 2018 #42 Kuna wale wa startimes ndio utachoka yaan yeye anakuwa anataja jina tu la mchezaji wala hasemi chochote zaid ya jina halaf wakifika golini unashangaa anapayuka kwa sauti kuubwa
Kuna wale wa startimes ndio utachoka yaan yeye anakuwa anataja jina tu la mchezaji wala hasemi chochote zaid ya jina halaf wakifika golini unashangaa anapayuka kwa sauti kuubwa
Daudi1 JF-Expert Member Joined Dec 14, 2013 Posts 12,444 Reaction score 18,741 Jul 7, 2018 #43 Hizo chuki binafsi, tu utafikiri wewe hata kutangaza unajua, namkubali sana Maulid wa kitenge huwa natamani kumsikiliza kila anapotangaza
Hizo chuki binafsi, tu utafikiri wewe hata kutangaza unajua, namkubali sana Maulid wa kitenge huwa natamani kumsikiliza kila anapotangaza
Behaviourist JF-Expert Member Joined Apr 8, 2016 Posts 39,926 Reaction score 95,626 Jul 7, 2018 #44 Ananikera balaa!!
koncho77 JF-Expert Member Joined Feb 26, 2014 Posts 7,789 Reaction score 10,388 Jul 9, 2018 #45 Hapana bwana jamaa anatangaza vizuri tu usitake wote wawe kama Charles Hillary
D DREAMBOY JF-Expert Member Joined Nov 17, 2013 Posts 2,117 Reaction score 1,369 Jul 9, 2018 #46 Hakika nimeamini unavyozidi kufanikiwa ndo maadui wanaongezela.
RGforever JF-Expert Member Joined Apr 3, 2011 Posts 6,878 Reaction score 5,432 Jul 9, 2018 #47 Acheni Wivu