Maulid Kitenge hujui kutangaza mpira

Maulid Kitenge hujui kutangaza mpira

Kuna wale wa startimes ndio utachoka yaan yeye anakuwa anataja jina tu la mchezaji wala hasemi chochote zaid ya jina halaf wakifika golini unashangaa anapayuka kwa sauti kuubwa
 
Hizo chuki binafsi, tu utafikiri wewe hata kutangaza unajua, namkubali sana Maulid wa kitenge huwa natamani kumsikiliza kila anapotangaza
 
Hapana bwana jamaa anatangaza vizuri tu usitake wote wawe kama Charles Hillary
 
Hakika nimeamini unavyozidi kufanikiwa ndo maadui wanaongezela.
 
Back
Top Bottom