Maulid Kitenge, huoni aibu kuwasaliti Watanzania wenzako? Hatimaye ukweli umefichuka

Sasa hilo ni tatizo la serikali. Hili la waarabu kuletwa hifadhini hufanywa na marais wa kiislam sijui kwanini.
Mwinyi...aliuza Loliondo
Kikwete..Ngorongoro
Maza naye tena?
 
Hapo umezungumza nisichokihoji wala nisichokipinga, so ni kama hukaandika kitu.

Wamasai kuondolewa hatupingi, ila tunaoinga wao kuondolewa ili aje mtu mwingine kuua wanyama kwa kujiburudisha, as simple as that.
Hiyo point sana mkuu, hakuna anayepinga ila tuu wamaasai wasitolewe then tukaona waarabu wanamilikishwa vitalu kwa uwindaji itakuwa ni aibu na karaha kwa wale wote tunaopenda mazingira na Mbuga zetu
 
Jibu swali... Wamasai 120,000 wanakula nini na kuni za kupikia wanatoa wapi? Wakati hairuhusiwi kukata miti wala kuchanja kuni? Wanatumia gas kupika?
Wanakula nini kwani wewe unakula nini? Si unanunua toka sokoni, mtu anafuga ng’ombe ambae akiuza mmoja tu anaingiza hadi milioni, ashindwe kununua kiroba cha unga na mchele?! Swali gani hili?! Na kama lengo ni kuhifadhi mazingira sababu wanakata kuni basi hatukatai kuhamishwa kwao, ila sio wahamishwe wapewe waarabu waje kuua simba, shida iko hapo, maana anaeua simba na anaekata kuni, huyu muuwaji wa simba ndio mharibifu zaidi, lazima tkinde kwanza watu wetu kabla ya kumlinda mgeni mvamizi na muuwaji
 
Kwa hiyo mwarabu yeye akiua wanyama anaiendeleza mbuga?what a rubbish!Inakera kuona wale wanaopaswa kuja kutalii kuona wasivyo kuwa navyo kwao ndio wanapewa umiliki kwetu ili wakaanzishe hifadhi kwao!
 
Tusisahau kipindi hicho Raisi
aliye
Tusisahau aliyekuwa Raisi kipindi Loliondo inauzwa alikuwa Mzee Ruksa,Na dini yake inajurikana,Loliondo wakapewa waarabu.
Kikwete,wanyama hai walisafirishwa kwenda uarabuni,
Sasa tuna Raisi Muislam(naweka msisitizo kwenye dini),haya yanatokea,maofisini watu wanaulizwa dini na makabila yao.
Waislam,kwao dini na maisha ya kila siku havitengani,kila wakifanyacho lazima dini Itahusika,utasikia Mimi mtoto wa Kiislam lazima nifunge,siwezi kufanya mstangazo ya bia,lakini huyo huyo anapigwa pipe na bsdo hajaolewa.
 
Sawa tufanye wamasai ni ombaomba wa chakula, so what? Kama wanaondolewa kwa lengo la uhifadhi ni sawa, ila shida inakuja kwamba lengo la kuwaondoa ni ili kupisha wauaji waarabu wanaokuja kuua simba kwa kujiburudisha, shida iko hapo tu, maana hao ni waharibifu zaidi ya hao wanaokata kuni. Lazima tuangalie maslahi ya watu wetu kwanza kabla ya kumburudisha mgeni, hata kama ana pesa, huo ndio ubinadamu.
 
I see. Kumbe na Mimi nilipiga kelele bila kujua mambo kiundani.

Vipi wabunge wanaelewa wanachopigania?
Ulipiga kelele sawa..

Nahapa pia unafanya kosa lile lile...maana bado huna ushaidi zaid ya kusikia kam ulivyo sikia mwanzo..

Ni bora ukae kimya tu...

Siri ni nzito
 
Nakumbuka nilimpiga nyundo huyu maandishi njaa mpaka akaniblock [emoji3] analeta hoja maandazi kweli [emoji29] majinga hata hayajui maana halisi na asili ya Ngorongoro [emoji29] Mbuzi wa Kisalamanda kabsa [emoji3]
 
CC Loftins
 
Cc Mshana Jr njoo uone huku
 
Ulipiga kelele sawa..

Nahapa pia unafanya kosa lile lile...maana bado huna ushaidi zaid ya kusikia kam ulivyo sikia mwanzo..

Ni bora ukae kimya tu...

Siri ni nzito
Siri nzito ya nini sasa, iweke wazi kama hili gazeti walivyofanya
 
Kwa hiyo mwarabu yeye akiua wanyama anaiendeleza mbuga?what a rubbish!Inakera kuona wale wanaopaswa kuja kutalii kuona wasivyo kuwa navyo kwao ndio wanapewa umiliki kwetu ili wakaanzishe hifadhi kwao!
Umekurupuka kujibu bila kuelewa hoja ,nachoeleza mbuga zetu zilindwe bila kujali waharibifu ni wenyeji au wawekezaji
 
Kwahiyo tuondoe wamasai ili kuhifadhi mazingira au tuwaondoe ili tuwape waarabu waju kufanya mauaji ya simba kwa kujiburudisha? Halafu Kitenge atuambie, hao waarabu walimlipa hongo kiasi gani kufanya huu usaliti?
Ngorongoro hakuna game reserve ya uwindaji wewe, acha bangi, Obc wako Loliondo. achana na vi NGO uchwara kama PINGO FORUM, wasiotaka wamasai waondoke ili waendelee kupata ufadhili kwa wahisani wao
 
Wewe wauaji hao umewaona wapi au hiyo mikataba umeiona wapi zaidi ya speculation za mtandaoni? Huo mkataba umesainiwa lini na nani? Acha uzuzu
 
LOLIONDO walishauza kwa OBC,tangu utawala wa mwinyi sasa wanahamia ngorongoro,hawa wazanzibar hawajawahi kuwa na huruma na watanganyika.
Aisee...sasa mbona idara za usalama wa nchi zimekaaa kaa tu bila kutetea maslahi ya nchi?

au wanatetea maslahi ya nani?..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…