..
Evicted residents from Loliondo will be relocated to the neighboring Ngorongoro Conservation Area (NCA), where they will join another 80,000 evicted Maasai to share a strip of land designated for humans and wildlife.
..
Hivi umeelewa vizuri hiyo habari? Au kiingereza kimekupiga chenga? Naona umewakamata wajinga wenzako..
Kwa kukusaidia wewe na mazwazwa wenzako, hiyo habari haihusiani na alichoongea Kitenge(i.e Ngorongoro), bali inaongelea kuwaondoa wamasai kutoka Loliondo.
..
.
Rais wa JMT akiwa mzenj basi mbuga zetu bara zitauzwa sana. Sitasahau mambo ya bi Siti Mwinyi. Wamasai wakomae tu wakatae kuhama. Wamasai wapo huko tokea 185.... leo ndo uwafukuze ?Stupid.
Mimi kumuongelea Kitenge au an individual naona ni kupoteza rasilimali yangu ya muda..., nachoweza kujadili ni kinachoongelewa na impact yake kwahio binafsi hao wamasai au hao wanaotaka kumilikishwa eneo la UMMA / JAMII kwa manufaa yao; wote wapigwe chini eneo libaki kwa kutunzwa ili kila atakaye aweze kwenda kuburudika na sio kuharibu wala kuishi....
Usipowaongelea watu wa aina hiyo na kama Taifa tukawa na njia ya ku-deal nao basi ndiyo utakuwa unapoteza muda na raslimali. Hawa watu wa aina hii wana madhara makubwa kwa Taifa na nilazima washughulikiwe. Ukisema uta deal na kinachojadiliwatu ni kama kutibu dalili badala ya ugonjwa.

Tunagawana majukumu wewe ongelea Mshutumiwa mimi taongelea impact ya shutuma after all shutuma huenda they are just that Shutuma...,
Ila kama Mtanzania nitapaza sauti ili mali ya Jamii isinajisiwe iwe ni mmasai au mwarabu au individual yoyote, au kizazi chochote hio mali sio yetu pekee bali na kizazi cha kesho...

Walipouza Loliondo gazeti la kwanza kuripoti taarifa ile (Motomoto) lilifunguwa mazima hadi leo.. Na hilo hilo lilifungiwa pia kwa kusema Zanzibar ilipojiunga na OIC. Kama kawa, ilipingwa kwanza na Serikali na watu kadhaa kuliwa vichwa.. LAKINI HADI LEO LOLIONDO SIYO YETU TENA.. Hao hao akina so called royal family walifanya yao.

Sidhani hata Kuna mtu amesoma hiyo habari na kuelewa nimepita comments zote ndio nimeona wewe unasoma kwa brilliance na utulivu wengine wameingia Chaka.
Hivi umeelewa vizuri hiyo habari? Au kiingereza kimekupiga chenga? Naona umewakamata wajinga wenzako..
Kwa kukusaidia wewe na mazwazwa wenzako, hiyo habari haihusiani na alichoongea Kitenge(i.e Ngorongoro), bali inaongelea kuwaondoa wamasai kutoka Loliondo.
..
.
Mwanzoni mwa mwezi huu wa pili 2022 kuliibuka ghafla na kwa kasi ya ajabu jitihada za makusudi za kujaribu kuwaondoa wamasai katika ardhi zao za kimila huko Ngorongoro kwa madai ya kwamba binadamu wamekuwa wengi huko Ngorongoro na hivyo wanaharibu ekolojia.
Vita hii ya kuwaondoa wamasai ilikuwa spear headed na nguli wa habari za michezo ndugu MAULID KITENGE ambapo alifanya ziara huko Ngorongoro na kutuambia WaTz kwamba eti ‘HALI INATISHA HUKO NGORONGORO’;
Wengi wetu tulihisi kuna jambo nyuma ya pazia, kwamba ghafla tu mtu wa michezo anaenda kushikia bango jambo lisilo la kimichezo; kiasi tulipata hisia kwamba amaelipwa pesa ili kueneza propaganda kwa maslahi ya waliomtuma.
Haya sasa, imekuja kugundulika kwamba hilo eneo la Ngorongoro anataka kuuziwa kampuni ya uwekezaji toka Falme za kiarabu inayomilikiwa na ‘Royal family’ kwa ajili ya kuendesha uwindaji wa kujifurahisha (game hunting), kampuni hiyo inaitwa OBC.
Sasa namuuliza ndugu yangu Kitenge, HUONI AIBU kuwasaliti WaTanzania wenzako?!
By Laurel Sutherland on 18 February 2022 - In northern Tanzania, more than 70,000 Indigenous Maasai residents are once again facing eviction from ancestral lands as the government reveals plans to lease the land to a UAE-based company to create a wildlife corridor for trophy hunting and elite...

Dirisha la 'usajili' lipo wazi , waarabu baada ya kununua timu za premier league uiengereza ,change wananunua mbuga za wanyama Tanzania-Petro dollars siyo mchezo.Maulid unasemeja?
Sidhani hata Kuna mtu amesoma hiyo habari na kuelewa nimepita comments zote ndio nimeona wewe unasoma kwa brilliance na utulivu wengine wameingia Chaka.
Huu mtandao (JF) siku hizi umejaa wajinga tena ni wajinga kiwango cha SGR, halafu basi wenyewe wanajiona wajaaanja. Mtandao huu siku hizi umepoteza ile sifa yake kwamba ni "Home of Great Thinkers" badala yake umekuwa ni "Home of Great Idiots".
Yaani ni rahisi sana kutengeneza uongo, propaganda, uzushi pamoja na uchafu mwengine ukaja ukauandika hapa Jf na hakika utashangaa utakavyowakamata wajinga (a.k.a mazwazwa), ndio kama alivyofanya huyu mtoa mada.
Walipouza Loliondo gazeti la kwanza kuripoti taarifa ile (Motomoto) lilifunguwa mazima hadi leo.. Na hilo hilo lilifungiwa pia kwa kusema Zanzibar ilipojiunga na OIC. Kama kawa, ilipingwa kwanza na Serikali na watu kadhaa kuliwa vichwa.. LAKINI HADI LEO LOLIONDO SIYO YETU TENA.. Hao hao akina so called royal family walifanya yao.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.