Mtamba wa Panya
JF-Expert Member
- Aug 6, 2017
- 764
- 1,892
Hivi umeelewa vizuri hiyo habari? Au kiingereza kimekupiga chenga? Naona umewakamata wajinga wenzako....
Evicted residents from Loliondo will be relocated to the neighboring Ngorongoro Conservation Area (NCA), where they will join another 80,000 evicted Maasai to share a strip of land designated for humans and wildlife.
..
Umenipa wazo jingine juu ya marais wetu.. hivi ya Loliondo alikuwa mzenji..!!!Rais wa JMT akiwa mzenj basi mbuga zetu bara zitauzwa sana. Sitasahau mambo ya bi Siti Mwinyi. Wamasai wakomae tu wakatae kuhama. Wamasai wapo huko tokea 185.... leo ndo uwafukuze ?Stupid.
Yaani..!!! Mtu kasepeshwa kiaina hivi hivi kisa LoliondoR.I.P Stan Katabalo.
Usipowaongelea watu wa aina hiyo na kama Taifa tukawa na njia ya ku-deal nao basi ndiyo utakuwa unapoteza muda na raslimali. Hawa watu wa aina hii wana madhara makubwa kwa Taifa na nilazima washughulikiwe. Ukisema uta deal na kinachojadiliwatu ni kama kutibu dalili badala ya ugonjwa.Mimi kumuongelea Kitenge au an individual naona ni kupoteza rasilimali yangu ya muda..., nachoweza kujadili ni kinachoongelewa na impact yake kwahio binafsi hao wamasai au hao wanaotaka kumilikishwa eneo la UMMA / JAMII kwa manufaa yao; wote wapigwe chini eneo libaki kwa kutunzwa ili kila atakaye aweze kwenda kuburudika na sio kuharibu wala kuishi....
Tunagawana majukumu wewe ongelea Mshutumiwa mimi taongelea impact ya shutuma after all shutuma huenda they are just that Shutuma...,Usipowaongelea watu wa aina hiyo na kama Taifa tukawa na njia ya ku-deal nao basi ndiyo utakuwa unapoteza muda na raslimali. Hawa watu wa aina hii wana madhara makubwa kwa Taifa na nilazima washughulikiwe. Ukisema uta deal na kinachojadiliwatu ni kama kutibu dalili badala ya ugonjwa.
Tuko page moja. Mbuga na hifadhi za wanyama ni mali ya umma.Tunagawana majukumu wewe ongelea Mshutumiwa mimi taongelea impact ya shutuma after all shutuma huenda they are just that Shutuma...,
Ila kama Mtanzania nitapaza sauti ili mali ya Jamii isinajisiwe iwe ni mmasai au mwarabu au individual yoyote, au kizazi chochote hio mali sio yetu pekee bali na kizazi cha kesho...
Kulikuwa na Gazeti lingine lililoitwa "Mfanyakazi" lililokuwa likitoka Kila J'mosi. Liliripoti Sana habari za Loliondo. Nalo lilipotezwa.Walipouza Loliondo gazeti la kwanza kuripoti taarifa ile (Motomoto) lilifunguwa mazima hadi leo.. Na hilo hilo lilifungiwa pia kwa kusema Zanzibar ilipojiunga na OIC. Kama kawa, ilipingwa kwanza na Serikali na watu kadhaa kuliwa vichwa.. LAKINI HADI LEO LOLIONDO SIYO YETU TENA.. Hao hao akina so called royal family walifanya yao.
LEO WAMERUDI TENA
Halafu humu watu wanasema mwinyi ni.mtu mzuri... .. ndio maana anaishi miaka mingi... Weeh.. ..Walipouza Loliondo gazeti la kwanza kuripoti taarifa ile (Motomoto) lilifunguwa mazima hadi leo.. Na hilo hilo lilifungiwa pia kwa kusema Zanzibar ilipojiunga na OIC. Kama kawa, ilipingwa kwanza na Serikali na watu kadhaa kuliwa vichwa.. LAKINI HADI LEO LOLIONDO SIYO YETU TENA.. Hao hao akina so called royal family walifanya yao.
LEO WAMERUDI TENA
Mwinyi huyo.Umenipa wazo jingine juu ya marais wetu.. hivi ya Loliondo alikuwa mzenji..!!!
Hivi umeelewa vizuri hiyo habari? Au kiingereza kimekupiga chenga? Naona umewakamata wajinga wenzako..
Kwa kukusaidia wewe na mazwazwa wenzako, hiyo habari haihusiani na alichoongea Kitenge(i.e Ngorongoro), bali inaongelea kuwaondoa wamasai kutoka Loliondo.
..
.
Urefu wa kamba naona kijana nae kaifunga kamba yake anakula maisha.Mwanzoni mwa mwezi huu wa pili 2022 kuliibuka ghafla na kwa kasi ya ajabu jitihada za makusudi za kujaribu kuwaondoa wamasai katika ardhi zao za kimila huko Ngorongoro kwa madai ya kwamba binadamu wamekuwa wengi huko Ngorongoro na hivyo wanaharibu ekolojia.
Vita hii ya kuwaondoa wamasai ilikuwa spear headed na nguli wa habari za michezo ndugu MAULID KITENGE ambapo alifanya ziara huko Ngorongoro na kutuambia WaTz kwamba eti ‘HALI INATISHA HUKO NGORONGORO’;
Wengi wetu tulihisi kuna jambo nyuma ya pazia, kwamba ghafla tu mtu wa michezo anaenda kushikia bango jambo lisilo la kimichezo; kiasi tulipata hisia kwamba amaelipwa pesa ili kueneza propaganda kwa maslahi ya waliomtuma.
Haya sasa, imekuja kugundulika kwamba hilo eneo la Ngorongoro anataka kuuziwa kampuni ya uwekezaji toka Falme za kiarabu inayomilikiwa na ‘Royal family’ kwa ajili ya kuendesha uwindaji wa kujifurahisha (game hunting), kampuni hiyo inaitwa OBC.
Sasa namuuliza ndugu yangu Kitenge, HUONI AIBU kuwasaliti WaTanzania wenzako?!
Tanzania, siding with UAE firm, plans to evict Maasai from ancestral lands
By Laurel Sutherland on 18 February 2022 - In northern Tanzania, more than 70,000 Indigenous Maasai residents are once again facing eviction from ancestral lands as the government reveals plans to lease the land to a UAE-based company to create a wildlife corridor for trophy hunting and elite...www.jamiiforums.com
Kwani ukodishwaji wa vitalu umeanza na Samia? Umekuwepo na itaendelea kuwepo so long as utalii upo.Mwanzoni mwa mwezi huu wa pili 2022 kuliibuka ghafla na kwa kasi ya ajabu jitihada za makusudi za kujaribu kuwaondoa wamasai katika ardhi zao za kimila huko Ngorongoro kwa madai ya kwamba binadamu wamekuwa wengi huko Ngorongoro na hivyo wanaharibu ekolojia.
Vita hii ya kuwaondoa wamasai ilikuwa spear headed na nguli wa habari za michezo ndugu MAULID KITENGE ambapo alifanya ziara huko Ngorongoro na kutuambia WaTz kwamba eti ‘HALI INATISHA HUKO NGORONGORO’;
Wengi wetu tulihisi kuna jambo nyuma ya pazia, kwamba ghafla tu mtu wa michezo anaenda kushikia bango jambo lisilo la kimichezo; kiasi tulipata hisia kwamba amaelipwa pesa ili kueneza propaganda kwa maslahi ya waliomtuma.
Haya sasa, imekuja kugundulika kwamba hilo eneo la Ngorongoro anataka kuuziwa kampuni ya uwekezaji toka Falme za kiarabu inayomilikiwa na ‘Royal family’ kwa ajili ya kuendesha uwindaji wa kujifurahisha (game hunting), kampuni hiyo inaitwa OBC.
Sasa namuuliza ndugu yangu Kitenge, HUONI AIBU kuwasaliti WaTanzania wenzako?!
Tanzania, siding with UAE firm, plans to evict Maasai from ancestral lands
By Laurel Sutherland on 18 February 2022 - In northern Tanzania, more than 70,000 Indigenous Maasai residents are once again facing eviction from ancestral lands as the government reveals plans to lease the land to a UAE-based company to create a wildlife corridor for trophy hunting and elite...www.jamiiforums.com
Positive mindKwani ukodishwaji wa vitalu umeanza na Samia? Umekuwepo na itaendelea kuwepo so long as utalii upo.
Pili propaganda kama hizi sio Kinga ya wamasai kuhalalisha uharibifu wa hifadhi,ushahidi Uko wazi na umewekwa.
Mwisho Hilo eneo wakipisha likawekwa chino ya wawindaji litarudi kwenye uhalisia wake wa uhifadhi na sio kama lilivyoharibiwa kwa sasa.
Kwa hiyo hakuna excuses wala propaganda za kuhalalisha uharibifu.
Mambo ya Kijinga kama haya ndio yalipelekea Nchi ikajaa machinga kila mahali.Serikali acheni majadiliano ya Kijinga na Masai.
JimamaKaolewa na nani Nyanaume? 🤣
🤣 🤣 🤣
Sidhani hata Kuna mtu amesoma hiyo habari na kuelewa nimepita comments zote ndio nimeona wewe unasoma kwa brilliance na utulivu wengine wameingia Chaka.
Mkuu umenikumbusha kifo cha somebody Katabalo,walikula kichwa chake kwa kufatilia issue ya loliondo enzi hizo,dahWalipouza Loliondo gazeti la kwanza kuripoti taarifa ile (Motomoto) lilifunguwa mazima hadi leo.. Na hilo hilo lilifungiwa pia kwa kusema Zanzibar ilipojiunga na OIC. Kama kawa, ilipingwa kwanza na Serikali na watu kadhaa kuliwa vichwa.. LAKINI HADI LEO LOLIONDO SIYO YETU TENA.. Hao hao akina so called royal family walifanya yao.
LEO WAMERUDI TENA