Logikos
JF-Expert Member
- Feb 26, 2014
- 15,460
- 24,233
Naam walikuwa wangapi tangia enzi hizo na sasa hivi wapo wangapi ? Tatizo sio uwepo wao ni namba za uwepo wao..., tunajua kabisa ecosystem ya mifugo inategemea na uwepo wa majani..., wamasai zamani walifanikiwa sana kwa kuhama hama wakila malisho hapa yakipungua wanakwenda kule yakipungua wanarudi hapa yanakuwa yamesharudi..., sasa wingi wa mifugo sehemu moja inaharibu mazingira na mwisho wa siku hakuna sustainability.....Hao wamasai wamekaa huko mbugani tangu enzi na enzi hebu Acheni Gubu jamani,
Utagundua kwamba maisha yao, yanaku-affect wewe, na mimi kama maisha yetu yanavyowa-effect wao..., sababu yanahusu mazingira (tangu enzi na enzi shughuli zao zilikuwa na positive impact..., zikiwa na negative impact lazima tuseme pia)Acheni watu waishi Maisha yao
Small things can have non linear effect on a complex system - Butterfly Effect
Nini kifanyike; wote tuhakikishe wao na sisi wengine kama jamiii tutunze urithi wa vizazi vijavyo..., hao wamasai waelimishwe na kutafutiwa sehemu nzuri, hata kama sio wote waondoke wabaki wachache na waweke cap ya numbers zisizidi kiasi fulani..., mapato ya huko yawanufaisha wote kama taifa na jamii, na pia wewe siku ukitaka kusafisha macho upate sehemu ya kwenda....