Maulid Kitenge, huoni aibu kuwasaliti Watanzania wenzako? Hatimaye ukweli umefichuka

Hao wamasai wamekaa huko mbugani tangu enzi na enzi hebu Acheni Gubu jamani,
Naam walikuwa wangapi tangia enzi hizo na sasa hivi wapo wangapi ? Tatizo sio uwepo wao ni namba za uwepo wao..., tunajua kabisa ecosystem ya mifugo inategemea na uwepo wa majani..., wamasai zamani walifanikiwa sana kwa kuhama hama wakila malisho hapa yakipungua wanakwenda kule yakipungua wanarudi hapa yanakuwa yamesharudi..., sasa wingi wa mifugo sehemu moja inaharibu mazingira na mwisho wa siku hakuna sustainability.....
Acheni watu waishi Maisha yao
Utagundua kwamba maisha yao, yanaku-affect wewe, na mimi kama maisha yetu yanavyowa-effect wao..., sababu yanahusu mazingira (tangu enzi na enzi shughuli zao zilikuwa na positive impact..., zikiwa na negative impact lazima tuseme pia)

Small things can have non linear effect on a complex system - Butterfly Effect

Nini kifanyike; wote tuhakikishe wao na sisi wengine kama jamiii tutunze urithi wa vizazi vijavyo..., hao wamasai waelimishwe na kutafutiwa sehemu nzuri, hata kama sio wote waondoke wabaki wachache na waweke cap ya numbers zisizidi kiasi fulani..., mapato ya huko yawanufaisha wote kama taifa na jamii, na pia wewe siku ukitaka kusafisha macho upate sehemu ya kwenda....
 
Nimekuelewa Vyema

Vita hii ya kuwaondoa wamasai ilikuwa spear headed na nguli wa habari za michezo ndugu MAULID KITENGE ambapo alifanya ziara huko Ngorongoro na kutuambia WaTz kwamba eti ‘HALI INATISHA HUKO NGORONGORO’.
Sorry!! Kuna mtangazaji wa ITV alipewa u DC Mwanga au Same kama sijakosea, je huwa ni huyu au alikuwa nani?
 
Naam walikuwa wangapi tangia enzi hizo na sasa hivi wapo wangapi ? Tatizo sio uwepo wao ni namba za uwepo wao..., tunajua kabisa ecosystem ya mifugo inategemea na uwepo wa majani..., wamasai zamani walifanikiwa sana kwa kuhama hama wakila malisho hapa yakipungua wanakwenda kule yakipungua wanarudi hapa yanakuwa yamesharudi..., sasa wingi wa mifugo sehemu moja inaharibu mazingira na mwisho wa siku hakuna sustainability.....

Utagundua kwamba maisha yao, yanaku-affect wewe, na mimi kama maisha yetu yanavyowa-effect wao..., sababu yanahusu mazingira (tangu enzi na enzi shughuli zao zilikuwa na positive impact..., zikiwa na negative impact lazima tuseme pia)

Small things can have non linear effect on a complex system - Butterfly Effect

Nini kifanyike; wote tuhakikishe wao na sisi wengine kama jamiii tutunze urithi wa vizazi vijavyo..., hao wamasai waelimishwe na kutafutiwa sehemu nzuri, hata kama sio wote waondoke wabaki wachache na waweke cap ya numbers zisizidi kiasi fulani..., mapato ya huko yawanufaisha wote kama taifa na jamii, na pia wewe siku ukitaka kusafisha macho upate sehemu ya kwenda....
Kuwaondoa na kuwapa waarabu waje kuua simba kwa kujiburudisha kunatunzaje hao wanyama?
 
Kama umenisoma Two Wrongs don't make it Right..., Sio wamasai, waarabu wala wachache wafaidike kwa madhara ya wengi..., kwahio wote piga chini...
 
Waandishi wametofautiana yupo yule alipiga kelele kuhusu Loliondo Gate kwenye gazeti la mfanyakazi akaishia kupotezwa huyu anaweza akawa yupo sahihi sema akiwa upande wa mabwenyenye anaonekana nae ni kabaila tu hata kama hoja zake zipo sawa..
 
Kwahiyo huyo Stanley Katabalo hajapatikana hadi leo?!
 
hivi ni kweli MAMA kayaamua haya.....kweli kabisa.......TUUNGANE NA WA MAASAI......kama kweli mpango ni kupauza...LOLIONDO ilienda kimya kimya....tukadanganywa.....na hii tena.....WATANZANIA....tuinuke PAMOJA....
 
Naam walikuwa wangapi tangia enzi hizo na sasa hivi wapo wangapi ? Tatizo sio uwepo wao ni namba za uwepo wao..., tunajua kabisa ecosystem ya mifugo inategemea na uwepo wa majani..., wamasai zamani walifanikiwa sana kwa kuhama hama wakila malisho hapa yakipungua wanakwenda kule yakipungua wanarudi hapa yanakuwa yamesharudi..., sasa wingi wa mifugo sehemu moja inaharibu mazingira na mwisho wa siku hakuna sustainability.....

Utagundua kwamba maisha yao, yanaku-affect wewe, na mimi kama maisha yetu yanavyowa-effect wao..., sababu yanahusu mazingira (tangu enzi na enzi shughuli zao zilikuwa na positive impact..., zikiwa na negative impact lazima tuseme pia)

Small things can have non linear effect on a complex system - Butterfly Effect

Nini kifanyike; wote tuhakikishe wao na sisi wengine kama jamiii tutunze urithi wa vizazi vijavyo..., hao wamasai waelimishwe na kutafutiwa sehemu nzuri, hata kama sio wote waondoke wabaki wachache na waweke cap ya numbers zisizidi kiasi fulani..., mapato ya huko yawanufaisha wote kama taifa na jamii, na pia wewe siku ukitaka kusafisha macho upate sehemu ya kwenda....
ludisha pesa za waarabu mkuu hii kitu hamuwezi fanikiwa
 
Hii dhambi kubwa sana watu wanaifanya bila hata aibu, wamekosa utu, hata wabunge wote wanaotetea wanajua nini kinaendelea behind the scenes, kuna mbunge mmoja kalishikia sana bango hili swala bungeni, niliwakuta wamekata mahali na Kitenge Wakionekan kujadili jambo seriously kwa umakini..... Something is going on.... Hili swala likichunguzwa fairly kuna watu watashitakiwa kwa uhaini....
Halafu Bila aibu tunakopa asee, wakati 200% mapato yetu yanakwenda mifukoni mwa watu ambao si waaminifu, jaman hawamuogopi hata Mungu??
 
Back
Top Bottom