Maulid Kitenge kila weekend yupo London

Maulid Kitenge kila weekend yupo London

Songea kuna mtaa unaitwa London, ni kweli Kitenge huwa anaonekana huko kila weekend
 
Mkuu usiamini sana post za Instagram na Facebook,wengi wanapost Throwback,Inawezekana alienda london kipindi yupo Radio one so kila week anapost picha moja.
 
Mkuu usiamini sana post za Instagram na Facebook,wengi wanapost Throwback,Inawezekana alienda london kipindi yupo Radio one so kila week anapost picha moja.

Aliekwambia source yangu Instagram nani?..tulia babu
 
Kitenge Londoni 22 March 2015.jpg

Kitenge london 27 March.jpg

Kitenge London Stanford.jpg

Kitenge Londoni December.jpg

Kitenge Londoni January.jpg

Kitenge Londoni January 2.jpg

Kitenge Londoni Feb.jpg

Kitenge Brighton November.jpg

Kila Wiki anaenda London,Dar-Es-Salaam to Uk(Return) USD 1,700 kwahiyo kwa mwezi anatumia 6,800 USD kwenye post inaonyesha tangia mwaka 2014 anaenda Londoni kila week inamaanisha mpaka sasa ameshatumia 40,000 USD kwa trip za DSM-London,Shikamoo Maulid Kitenge.E-FM wana Mishaara mizuri sana,atakuwa analipwa Zaidi ya USD 8,000 kwa mwezi.
 
Binamu warumi kwahili nakukubali kua umbea wako una viwango. Nina ushuhuda juu ya hili la mzee Y. Kweli wa kukufikia wewe hayupo

Namwambiaga chige umbea wangu sio wa kubahatisha nina mtandao hatar,hakuna habar za mastaa nisizozijua
 
Last edited by a moderator:
Binamu warumi kwahili nakukubali kua umbea wako una viwango. Nina ushuhuda juu ya hili la mzee Y. Kweli wa kukufikia wewe hayupo

Nayajua mengi zaidi ya kutisha, ila mengine yatabaki kuwa siri yangu mpaka nakufa
 
Hahahaaa, shoga subiri nitakutafuta chemba mwaya tusijeozea segerea.
Umesikia hiyo sheria mpya inayotungwa?Sijui hata kama warumi anajua.Nauona mwisho wa umbea hivihivi.

nimeisikia mmh kifungo kitatuhusu ha ha ha
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom