Maulid Kitenge na EarPods ni ushamba au ujanja?

naona wewe ndie mshamba kujadili lifestyle ya watu wengine
 
Unadhani kafika pale kwa kamba zake?

Ukiona swala.mjini ujue ana mmiliki
 
"" Usinipangie cha kufanya'',,,,,,,,,,,,,,,,,,,mwisho wa kunukuu by JPM
 
kuna mtu alishawah kunipang et kitenge ackii vzr😁😁😁
 
Wewe ndio mshamba.
 
Kinachokusumbua ni wivu wa kijinga kwani kwenye hivyo vyote wewe vinakunyima usingizi?unakaa kufuatilia personal issue za watu utaendelea Sana kuumia.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ni maisha yake muachee.
 
hakika
hawa ndio wale wenye mentality ya kuwachukia matajiri
Wanakwaza sana wanasubiri mtu apate wampangie nini afanye, yani hiyo roho ni kheri ya mchawi kuliko watu wa namna hiyo na mbaya zaidi uwa wanaishia kubaya ndiyo mana nimemshauri aachane na hiyo roho. Binafsi naamini as long as mtu havunji sheria zilizowekwa yupo sawa tu.
 
Kinachokusumbua ni wivu wa kijinga kwani kwenye hivyo vyote wewe vinakunyima usingizi?unakaa kufuatilia personal issue za watu utaendelea Sana kuumia.
watu wengi wanafikiria mchawi lazima uloge.Mchawi pia ni mtu ambaye anafuatilia issue za watu kumbe naye ana zake na pia watu kama hawa unaweza kuta akiona umeendelea au umepiga hatua anatamani ufe.
Mwalimu Nyerere angekuwepo leo si ajabu mtu kama huyu angehoji kwanini anatembea na fimbo kumbe ni kipenda roho.Kaunda alikuwa anatembea na kitambaa cheupe mkononi,Mobutu anavaa kofia ngozi ya chui na fimbo,Jomo Kenyata alikuwa anatambea na usinga wa mkia wa ngombe,Ili mradi kila mtu ana kitu chake anachokipenda kwenye roho yake ili mradi hakidhuru mtu.
Mtoa mada atakuwa ni mchawi kama sio mchawi ana tabia za kichawi nina wasiwasi hata kama amesoma kidogo hana maendeleo yeyote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…