[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Nchi hii ina matatizo mengi na fursa nyingi za kujadili, siyo issue za Maulidi Kitenge. Mwacheni aishi anavyotaka. Ata akijifunga dish la dstv kichwani, ni uchaguzi wake
Yule jama Ni mshamba haswaa sijui amewezaje kuwa mtangazaji na yeyeHuyu mtu hata akiwa kwenye mazungumzo ya kawaida na mtu/watu, EarPods hatoi.
Na anahakikisha zinaonekana.
EFM jogging nako, akiwa jogging na masela basi kila siku picha apigwe yeye tuuuuuuu huku ameshikilia iPhone 13 mkononi ikionyesha macho matatu ilimradi tu ionekane.
Kwa kweli mimi namuona mshamba na mtu mwenye ulimbukeni wa kijinga sana ukizingatia umri wake na ‘exposure’ aliyokuwa nayo.
Hayo ndiyo maisha aliyoyachagua mwache apambane nayo!Huyu mtu hata akiwa kwenye mazungumzo ya kawaida na mtu/watu, EarPods hatoi.
Na anahakikisha zinaonekana.
EFM jogging nako, akiwa jogging na masela basi kila siku picha apigwe yeye tuuuuuuu huku ameshikilia iPhone 13 mkononi ikionyesha macho matatu ilimradi tu ionekane.
Kwa kweli mimi namuona mshamba na mtu mwenye ulimbukeni wa kijinga sana ukizingatia umri wake na ‘exposure’ aliyokuwa nayo.
Kaka mkubwa uchawi unaanzaga ivyo ivyo we fanya maisha yako mzeeHuyu mtu hata akiwa kwenye mazungumzo ya kawaida na mtu/watu, EarPods hatoi.
Na anahakikisha zinaonekana.
EFM jogging nako, akiwa jogging na masela basi kila siku picha apigwe yeye tuuuuuuu huku ameshikilia iPhone 13 mkononi ikionyesha macho matatu ilimradi tu ionekane.
Kwa kweli mimi namuona mshamba na mtu mwenye ulimbukeni wa kijinga sana ukizingatia umri wake na ‘exposure’ aliyokuwa nayo.
Ni balozi wa Earpods za Apple, Tanzania.Hivi huwa ana miradi gani ya kumuingizia pesa mkuu?