Maulid Kitenge na EarPods ni ushamba au ujanja?

Maulid Kitenge na EarPods ni ushamba au ujanja?

Huyu mtu hata akiwa kwenye mazungumzo ya kawaida na mtu/watu, EarPods hatoi.

Na anahakikisha zinaonekana.

EFM jogging nako, akiwa jogging na masela basi kila siku picha apigwe yeye tuuuuuuu huku ameshikilia iPhone 13 mkononi ikionyesha macho matatu ilimradi tu ionekane.

Kwa kweli mimi namuona mshamba na mtu mwenye ulimbukeni wa kijinga sana ukizingatia umri wake na ‘exposure’ aliyokuwa nayo.
Yule jama Ni mshamba haswaa sijui amewezaje kuwa mtangazaji na yeye

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Maisha haya hutakiwi ku complicate

Yeyr kanunua kwa hela yake and anafeel good and proud kuwa navyo na ndio anavitumia namna hio

Ww nunua vyako vifiche kama unavotaka

Easy peasy
 
Angeshika kiswaswadu na zile earphones za buku jero ungesema!?

Nadhani mwenye ushamba ni wewe uliyeangalia vitu hivyo….ni maisha yake
 
Wabongo wana hasira [emoji1] chuki

Mzee na wee endelea kupigania channel zako utusue uishi upendavyo

Ova
 
Huyu mtu hata akiwa kwenye mazungumzo ya kawaida na mtu/watu, EarPods hatoi.

Na anahakikisha zinaonekana.

EFM jogging nako, akiwa jogging na masela basi kila siku picha apigwe yeye tuuuuuuu huku ameshikilia iPhone 13 mkononi ikionyesha macho matatu ilimradi tu ionekane.

Kwa kweli mimi namuona mshamba na mtu mwenye ulimbukeni wa kijinga sana ukizingatia umri wake na ‘exposure’ aliyokuwa nayo.
Hayo ndiyo maisha aliyoyachagua mwache apambane nayo!
 
Huyu mtu hata akiwa kwenye mazungumzo ya kawaida na mtu/watu, EarPods hatoi.

Na anahakikisha zinaonekana.

EFM jogging nako, akiwa jogging na masela basi kila siku picha apigwe yeye tuuuuuuu huku ameshikilia iPhone 13 mkononi ikionyesha macho matatu ilimradi tu ionekane.

Kwa kweli mimi namuona mshamba na mtu mwenye ulimbukeni wa kijinga sana ukizingatia umri wake na ‘exposure’ aliyokuwa nayo.
Kaka mkubwa uchawi unaanzaga ivyo ivyo we fanya maisha yako mzee
 
Limbukeni sana yule jamaa sjuwi mhaya maana huwa hazivui kabisa akipga picha lazima ashikilie iphone utadhani tz nzima anavyo yeye tu ni ushamba nakunga mkono
 
ninahofu kubwa kuwa mtoa mada akiweza kuwa mchawi watu wenye hela watateseka sana tupo dunia yenye uhuru ukiona mtu anakwazika kwa jambo analofanya mwingine ambapo ni pesa yake akivaa hzo earpods hazikudhuru kwa namna yoyote akipiga picha hazikuharibii mzunguko wako wa maisha bas ujue mtu huyo ni fukara hana mali zinazomfanya awaze fikra bunifu kwaajili yake jitahidi sana mtoa mada upate pesa ukicheza na maisha ya watu utafubaa mpka utoke unga matakoni[emoji41]
 
Ni Maisha yake mkuu hata akiamua kuvaa "SABUFA" na kukimbia nalo kichwani ni yeye ili mradi havunji sheria.
 
Labda anataka aonekane tofauti au ana matatizo ya usikivu.
 
Ni maisha yake, Ameamua yeye....wewe wala mimi hayatuhusu.
 
Back
Top Bottom