Maulid Kitenge ni tajiri kiasi gani hadi asafiri mataifa mbalimbali kiasi hicho?

Mimi namkibali Sana huyu mtangazaji Mana ni mweledi kwenye kazi yake.kwa ufupi no fundi Sana.

Wiki hii yupo Finland ,na Huwa kila wakati no kuluka kwa ndege mataifa mbalimbali.

Sina Nia mbaya lengo no kujua tu basi
Kitenge ni mfano bora kabisa sio tajiri kwa maana milionea ila ni mtu anaishi maisha yake na kidogo anachopata anatumia kufurahisha maisha yake kuna watu wana mamilioni lakini wanaishi kama maskini wa kutupwa.

Mimi huwa nasafiri sana lakini wala sio tajiri kwa hiyo nikimuona Kitenge ni kama najiona mimi. Heshima kwake, travelling ni hobby tu kama unavyopenda mpira au swimming just hobby.
 
Ongezea na "Kuluka"
Hili jambo katika kuandika linawapa shida watu wengi sana hata wanafunzi wengi kuna shida kubwa katika kuandika kama inavyotakiwa kwa hiyo wewe ukisoma rekebisha tu sababu unajuwa ana maanisha kitu gani soma kwa akili yako makusudio ya mwandishi ila hii changamoto kubwa sana. Kuna jamaa yangu akiniandikia ni lazima nisome mara mbili naunganisha nia yake ndio namwelewa anasema nini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…