Maulid Kitenge ni tajiri kiasi gani hadi asafiri mataifa mbalimbali kiasi hicho?

Maulid Kitenge ni tajiri kiasi gani hadi asafiri mataifa mbalimbali kiasi hicho?

Mimi namkubali sana huyu mtangazaji Mana ni mweledi kwenye kazi yake. Kwa ufupi ni fundi Sana.

Wiki hii yupo Finland na huwa kila wakati ni kuruka kwa ndege mataifa mbalimbali.

Sina nia mbaya lengo ni kujua tu basi
Binafsi sijui wakikujibu ni tag nije nisome
Halafu wambie wapunguze ujinga wanakukosoa mwandiko badala wakujibu hoja uliyoileta jukwaani
Tafadhari wachangiaji kama hamna maelezo ya kumjibu mpendwa huyu basi kukaa kimya ni busara pia
 
Mimi namkubali sana huyu mtangazaji Mana ni mweledi kwenye kazi yake. Kwa ufupi ni fundi Sana.

Wiki hii yupo Finland na huwa kila wakati ni kuruka kwa ndege mataifa mbalimbali.

Sina nia mbaya lengo ni kujua tu basi
Nasikiaga eti na yeye ni afisa kipenyo kama Shafii
 
Mimi namkubali sana huyu mtangazaji Mana ni mweledi kwenye kazi yake. Kwa ufupi ni fundi Sana.

Wiki hii yupo Finland na huwa kila wakati ni kuruka kwa ndege mataifa mbalimbali.

Sina nia mbaya lengo ni kujua tu basi.

sisi tutajua vp ikiwa yeye ajaweka wazi undani wa safari zake.
 
Kama kusafiri kungekuwa ni utajiri basi Madereva na Makondakta wangekuwa wana Ukwasi wa hatari!
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Kitenge ni mfano bora kabisa sio tajiri kwa maana milionea ila ni mtu anaishi maisha yake na kidogo anachopata anatumia kufurahisha maisha yake kuna watu wana mamilioni lakini wanaishi kama maskini wa kutupwa.

Mimi huwa nasafiri sana lakini wala sio tajiri kwa hiyo nikimuona Kitenge ni kama najiona mimi. Heshima kwake, travelling ni hobby tu kama unavyopenda mpira au swimming just hobby.
Hii hobby kama huna pesa utabaki kuiyona kwa Kitenge tu...kuogelea beach kibao zipo tn free lkn kwenda ughaibuni mara kwa mara na pipa c mchezo sheikh.
 
Ameshawahi kujibu kwenye kipindi kimoja Azam TV ..kuwa anaalikwa na watu huko
 
Utafiti wangu niliofanya ndani ya muda mfupi tu.. Inaonesha dhahiri kuwa watanzania wengi hawaifahamu lugha yao ya kiswahili ima kwa kuandika ama kwa kuzungumza.
Utafiti wangu niliofanya ndani ya muda mfupi tu.. Inaonesha dhahiri kuwa watanzania wengi hawaifahamu lugha yao ya kiswahili ima kwa kuandika ama kwa kuzungumza.
Mkuu kuifahamu lugha ya kiswahili kwa kuandika vizuri ni objective ya O level kwa Tanzania. Lakini bado inasumbua sana .
 
Tusipangiane cha kuandika, tukianza hivyo patakuwa hapakaliki hapa.

Nani kakupa u editor wa kuamua kipi cha lazima na kipi si cha lazima hapa?
Sijakupangia bali ni maoni tu, nadhani kila mtu yuko huru kuandika aonacho ni sahihi bora asitukane.
Kutofautia mitazamo au kukosoana ni kawaida, hata hii post ukiikosoa ni uhuru ulionao hapa janvini.
 
Sijakupangia bali ni maoni tu, nadhani kila mtu yuko huru kuandika aonacho ni sahihi bora asitukane.
Kutofautia mitazamo au kukosoana ni kawaida, hata hii post ukiikosoa ni uhuru ulionao hapa janvini.
One.
 
Back
Top Bottom