Maulid Kitenge: Nina imani kubwa na Tume ya Jaji Chande. Ripoti ya kesho itaenda 'kuponya' Watanzania

Mindyou

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2024
Posts
2,536
Reaction score
7,194
Wakuu,

Nakumbuka hata kipindi kile cha Uchaguzi MaCCM yalitumia mbinu hizi hizi za kutumia watu maarufu kuhalalisha Uchaguzi ila kilichotokea hadi leo hawaamini

Ni lini CCM itakubali kwamba Generation imebadilika and that kutumia watu maarufu ilikuwa ni trick ya zamani sana ambayo sasa hivi haifanyi kazi tena

Kitenge anaposema ana 'imani' na Tume ya Chande anamaanisha nini au 'kashapenyezewa ripoti na kuisoma?

==========================

Mwandishi wa habari Maulid Kitenge ameonyesha imani kubwa na ripoti ya Tume ya Oktoba 29 inayotarajiwa kutolewa kesho. Kitenge amesema ripoti hiyo itakuwa ya kina na itatoa majibu sahihi kuhusu matukio yaliyotokea, huku akisisitiza kuwa ni ripoti inayokwenda kuleta faraja na "kuponya" Watanzania.

Huyu chawa wa DP World atakayemuamini has akili.

Ripoti ya Chande iponye vipi majeraha badala ya wale waliohusika na yale mauaji kuchukuliwa hatua?

Mapendekezo ya tume yatakapofanyiwa kazi ndio yataponya majeraha, sio maandishi ya kwenye ripoti ya hiyo tume.

Na hayo mapendekezo lazima yaeleweke kwa watanganyika, sio ripoti ije na mapendekezo ya kumfurahisha mtawala, huo utakuwa ujinga mwingine usiotibu jeraha lolote.
 
Wakuu,

Nakumbuka hata kipindi kile cha Uchaguzi MaCCM yalitumia mbinu hizi hizi za kutumia watu maarufu kuhalalisha Uchaguzi ila kilichotokea hadi leo hawaamini

Ni lini CCM itakubali kwamba Generation imebadilika and that kutumia watu maarufu ilikuwa ni trick ya zamani sana ambayo sasa hivi haifanyi kazi tena

Kitenge anaposema ana 'imani' na Tume ya Chande anamaanisha nini au 'kashapenyezewa ripoti na kuisoma?

==========================

Mwandishi wa habari Maulid Kitenge ameonyesha imani kubwa na ripoti ya Tume ya Oktoba 29 inayotarajiwa kutolewa kesho. Kitenge amesema ripoti hiyo itakuwa ya kina na itatoa majibu sahihi kuhusu matukio yaliyotokea, huku akisisitiza kuwa ni ripoti inayokwenda kuleta faraja na "kuponya" Watanzania.

Takataka mavi
 
Madalali wameshavuta mgao wa bahasha za khaki kama alivyopewa kuipamba DP World.

Huu mgao wa kusifia genge la mauaji na kipeperushi chao cha udaku wanachokiita ripoti halitafanikiwa kipindi hiki.

Na nani alimuuliza huyu kibaka kwamba watu wana imani nayo au hawana ?
 
Wakuu,

Nakumbuka hata kipindi kile cha Uchaguzi MaCCM yalitumia mbinu hizi hizi za kutumia watu maarufu kuhalalisha Uchaguzi ila kilichotokea hadi leo hawaamini

Ni lini CCM itakubali kwamba Generation imebadilika and that kutumia watu maarufu ilikuwa ni trick ya zamani sana ambayo sasa hivi haifanyi kazi tena

Kitenge anaposema ana 'imani' na Tume ya Chande anamaanisha nini au 'kashapenyezewa ripoti na kuisoma?

==========================

Mwandishi wa habari Maulid Kitenge ameonyesha imani kubwa na ripoti ya Tume ya Oktoba 29 inayotarajiwa kutolewa kesho. Kitenge amesema ripoti hiyo itakuwa ya kina na itatoa majibu sahihi kuhusu matukio yaliyotokea, huku akisisitiza kuwa ni ripoti inayokwenda kuleta faraja na "kuponya" Watanzania.

Upumbavu mtupu. Hizi drama tayari zimeshaipotezea uhalali wa hii.tume
 
Wametumwa kuja kutuandaa Kisaikolojia.

Yaan hapo tayari mtu kaingiza pesa ..... kweli hii nchi inachezewa sana.
 
Watu wameshakula hela...
Ukimuona huyu chawa mwandamizi kajiposition hivi ujue ni mavi matupu....
Kwanza kipindi cha uchaguzi alitoka mbio ..hakuwepo..muulizeni alipiga kura?....
Mnafiki sana huyu mtu asiye na ithibati..
Mnasubiri majibu ya tume?Hahaha...kalaghabaho
 
Wakuu,

Nakumbuka hata kipindi kile cha Uchaguzi MaCCM yalitumia mbinu hizi hizi za kutumia watu maarufu kuhalalisha Uchaguzi ila kilichotokea hadi leo hawaamini

Ni lini CCM itakubali kwamba Generation imebadilika and that kutumia watu maarufu ilikuwa ni trick ya zamani sana ambayo sasa hivi haifanyi kazi tena

Kitenge anaposema ana 'imani' na Tume ya Chande anamaanisha nini au 'kashapenyezewa ripoti na kuisoma?

==========================

Mwandishi wa habari Maulid Kitenge ameonyesha imani kubwa na ripoti ya Tume ya Oktoba 29 inayotarajiwa kutolewa kesho. Kitenge amesema ripoti hiyo itakuwa ya kina na itatoa majibu sahihi kuhusu matukio yaliyotokea, huku akisisitiza kuwa ni ripoti inayokwenda kuleta faraja na "kuponya" Watanzania.

Ashakula kitimoto huyu
 
Muislamu hajawai kumiliki akili timamu hata siku moja 😁
 
Huyu nae ni KHUMAlo kama ma KHUMAlo wengine, mSENGEnyaji tu huy kama waSENGEnyaji wengine.
 
CCM wameamua kuacha kuwatumia machawa wakina Mwijaku, Masanja, Dotto Magari na wengineo?
 
Ripoti inapigiwa promo na wanaikubali kabla hata ya kutolewa? Hii nchi ya kipumbavu sana. Hangaya na washauri wake hawana akili.
 
Back
Top Bottom