Bufa
JF-Expert Member
- Mar 31, 2012
- 14,421
- 30,962
CCM wameamua kuacha kuwatumia machawa wakina Mwijaku, Masanja, Dotto Magari na wengineo?
Hata hawa ni machawa tu.
CCM wameamua kuacha kuwatumia machawa wakina Mwijaku, Masanja, Dotto Magari na wengineo?
well done Kitenge,Wakuu,
Nakumbuka hata kipindi kile cha Uchaguzi MaCCM yalitumia mbinu hizi hizi za kutumia watu maarufu kuhalalisha Uchaguzi ila kilichotokea hadi leo hawaamini
Ni lini CCM itakubali kwamba Generation imebadilika and that kutumia watu maarufu ilikuwa ni trick ya zamani sana ambayo sasa hivi haifanyi kazi tena
Kitenge anaposema ana 'imani' na Tume ya Chande anamaanisha nini au 'kashapenyezewa ripoti na kuisoma?
==========================
Mwandishi wa habari Maulid Kitenge ameonyesha imani kubwa na ripoti ya Tume ya Oktoba 29 inayotarajiwa kutolewa kesho. Kitenge amesema ripoti hiyo itakuwa ya kina na itatoa majibu sahihi kuhusu matukio yaliyotokea, huku akisisitiza kuwa ni ripoti inayokwenda kuleta faraja na "kuponya" Watanzania.

Kilaza tu huyu apuuzweWakuu,

Kwa walipofikia hawachagui silaha.Yoyote ile twende.Mfa maji......Wakuu,

Ripoti inapigiwa promo na wanaikubali kabla hata ya kutolewa? Hii nchi ya kipumbavu sana. Hangaya na washauri wake hawana akili.
Wakuu,