Maulid Kitenge, propaganda ulizotumwa kuzifanya kwa wana-Ngorongoro hazitakuacha salama

Masai lazima waondoke ngorongoro inakwisha
 
Kwa nini Wafugaji watoke?
Acha kujikita kwenye kivuli cha Ukabila.
Mamlaka ya Ngorongoro ilianzishwa mahsusi ili hali iliyokutwa hapo, ya Wafugaji na mifugo yao, na Wanyamapori, kuishi pamoja, iendelee na kudumishwa.
Wanaotaka Wafugaji watoke ni maadui wa Ngorongoro Conservation Area.
Wanaojenga kiholela ndani ya Hifadhi, nao pia ni maadui wa Ngorongoro Conservation Area.
Wanaharakati wanaopiga kelele kwa kutaja Ukabila, kuwa Ngorongoro ni ya Wamasai, lengo lao ni ku-alienate Watanzania ambao siyo Wamasai ili walifumbie macho suala hilo, waone haliwahusu, ili waendeleze nia zao ovu za kushibisha matumbo yao huku Ngorongoro ikiteketea.
Watanzania hatuwezi kukaa kimya wakati Mazingira ndani ya Hifadhi yetu ya Ngorongoro yanaharibika, kwa sababu ya kelele za Wanaharakati wanaojificha ndani ya kichaka cha Ukabila.
Tunatakiwa tuliseme hili waziwazi na kulipatia ufumbuzi.
Tusiogope kufanya maamuzi magumu.
Lengo letu daima liwe kuhakikisha Wafugaji na Wanyamapori wanaishi ndani ya Ngorongoro kama ilivyokusudiwa mwaka 1959.
 
Reactions: Tui
Ngorongoro maana yake ni nini? So hiyo ndiyo inayo justify wao kuwa evicted? Why don't you evict foreigners and their "conservational investments"?
Watu kwanza wanyama baadae wengine hawaelewi kuna wanyama walikuwepo nchi nyingi
lakini walitoa kipaumbele kwa maendeleo ya watu kwanza ndio maana walipungua hadi kupotea.

Tunazo mbuga za kutosha kwanini tuwaondoe watu kwenye ardhi yao ya asili sio sahihi kabisa.
 
Kama wanyama wanakula watu, Maulid akasema baada ya kuona serikali ya pale iko kimya je kuna ubaya?

Watu wapishe hifadhi.
Maulid wako katumiwa kama daraja tu, kwa taarifa yako UTALII wa uwindaji ndi sababu KUU ya kuondolewa jamii ya kimasai ...nikuulize unajua ni hasara gani tutapata baada ya hayo kufanyika?

Tafakari.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwani kosa lake liko wapi kusema watu wanazidi kuvamia Hifadhi ya ngorongoro???? Mbona kama imeonekana ni suala la kuattack watu flani wenye maslahi pale kwenye yale makazi...!!
Boychild tulia ufanye tafiti kwanza, hatu'komment kwa bahati mbaya.

Unafahamu kwamba uwindaji haramu au si haramu nao ni utalii? Ndio hao wanaotaka wapewe nafasi, achana na porojo za Yule propagandist wa pale upenyonyi!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwamba hap wawindaji haramu pake ngororongoro wamehsindwa kupewa nafasi nyingine mpaka walipo wamasai??? Au wamasai wanazuia Ujangili??? Yani wamasai kuishi huko porini ni kama kivutio cha taifa kwamba wakiondoka wataathiri utalii???

Suala la maulid naona linachukuliwa kisiasa but ukweli ni mwingi kuliko siasa...
 
Maulid wako katumiwa kama daraja tu, kwa taarifa yako UTALII wa uwindaji ndi sababu KUU ya kuondolewa jamii ya kimasai ...nikuulize unajua ni hasara gani tutapata baada ya hayo kufanyika?

Tafakari.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa hiyo wamasai wanavutia utalii????[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]yani kuchukulia binadamu wenzenu kama Sehemu ya utalii ni kuwadhalilisha yani wazungu wanakuja kushangaa wamasai???? Wamasai wanaathiri vipi utalii wakiondolewa pale??? Labda muwatetee wamasai wasiondolewe zaidi itungwe sheria kuzuia uvamizi unaondelea huko ngorongoroo...

MSITAWATUMIE WAMASAI KWA MASLAHI YENU BINAFSI.
 
Yani nashangaa sana watu wanaomshambulia maulid kitenge na kuchukulia hili suala kisiasaaa...!! Hadi muda huu siamini kama kuna watu wnaatetea upuuzi wa masai kuendelea kuharibu mazingira ya ngorongoro sawa waendelee kuishi ila sio kujenga na kuharibu mazingira
 
Mawazo kama yako ndio yaliyopelekea kukata milioni ya miti kujenga bwawa linalotegemea mvua!

Amandla...
Uelewa wako ni mdogo. Listen up, ninachopinga ni kuondoa wanadamu ili wanyama waishi.

Angalau mvua ina faida kwa binadamu na ustawi wake ivyo miti haifai kukatwa na aliekata utonifananisha nae km umeelewa hoja yangu.
 
Hebu fatilia trending ya hii kitu before..

Nipo kwenye shauri mahakamani now, usipoelewa nitarudi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Afadhali umetoka pangoni,nyie ndo mnaofanya mapenzi na mbwa,kuku,ng'ombe nk. ndio hasa mnaumia kwa wapenzi wenu hao wa kishetani kuondolewa.

Look here,dinosaurs wametoweka na wanyama wengine chungu mbovu hawapo tena duniani,where was your stupid ecosystems!? Usikariri,elewa...Mungu ndo fundi mkuu,kuwa na utu tetea survival ya jamii yako yaani wanadamu na sio wanyama poli jamii tofauti na ww...hili nalo hujui!,labda km na wewe ni jamii yao nitakuelewa.

Usiwe km ling'ombe,be human and fight for humans,yaani ata jumbu anakuzidi maarifa! Maana jumbu anatetea sana jamii yake dhidi ya simba.
 
Kwani hao simba ndo wamewafata watu yani arusha yote ile mpaka watu wakajenge na kuingi,a mifugo hifadhini???? Acha ujuhaa wew hao wamasai wadhibitiwee mapemaa tuu ardhi kubwa sana ya kuishi haina maana kwenda kuishi Mbugani ni kudhihirishia wazungu sis ni nyani na hatujitambui japo wajinga wachache wanasupport huo upuuzi
 
Uelewa wako ni mdogo. Listen up, ninachopinga ni kuondoa wanadamu ili wanyama waishi.

Angalau mvua ina faida kwa binadamu na ustawi wake ivyo miti haifai kukatwa na aliekata utonifananisha nae km umeelewa hoja yangu.
Nani aliemfata mwenzake...???? Binadamu uache maeneno yote uende ukanjenge mbugani kisa kufata nyasi na kulisha mifugo yako???? Kila mkoa wafuhaji wakienda kuishi mbugani itakuwaje..??? Ndo yale ya kusikia simba kala watu mara sijui fisi kashambulia watoto alafu lawama zinakuja kwa Serikali upuuzi tu
 
This is very low level of reasoning..

Wewe km mwanadamu ndio mtawala wa dunia haupaswi kumpisha au kuogopa kuishi makazi mazuri sababu ya kumpisha mnyama,wewe ni bora kuliko simba na twiga,hujielewi? Au wewe ni ling'ombe tu analosema Lissu.

Mbona jumbu na wanyama wengineo wanatetea jamii yao,wewe unashindwa kutetea wanadamu waishi vizuri! Basi kuanzia leo ukimuona mbwa mpishe kiti maana ndio akili yako ilivyo
 
Andiko lako ni zuri sana. Tena sana.
Kasoro yake ni pale unaposema Wafugaji waondolewe.
Lengo la kuanzisha Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro, ni kutunza na kudumisha 'eco-system' ambayo Wafugaji na Wanyamapori wanaishi katika eneo moja.
Hali hiyo iendelee.
Kama ulivyosema, nami nakushukuru kwa kutoa 'data', kutoka Wafugaji 8271 mwaka 1959, mpaka Wafugaji 120,000 na Mifugo 30,000 mwaka 1959 hadi mifugo zaidi 1,000,000 ; Mamlaka ya Ngorongoro itoe Tamko kuhusu uhimilivu wa Hifadhi juu ya kuongezeka kwa idadi ya Wafugaji na Mifugo.
Tamko likitoka, Watanzania tukae pamoja kama Taifa na kukubaliana nini kifanyike.
Lakini tusitenganyishe Wafugaji na Wanyamapori.
Serengeti ni World Heritage kwa sababu ya Wafugaji na Wanyamapori kuishi pamoja.
Hali hii ilindwe na kudumishwa.
 
Well written
 
Reactions: Tui
Bhasi kesho kaanze kumwaga tofali pale serengeti kwa kua unajiona una akili kuliko Simba alafu usiku utajua kama wew na Simba nani ana akili??? Unaweza kuwa na Akili ila Huna maarifa yani zero kabisaa na hujielewiiii... Ndo maana unaona una haki hata ya kwenda kujenga Serengeti alafu wale tembo wakaishi Kkoo eti[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…