Maulid Kitenge, propaganda ulizotumwa kuzifanya kwa wana-Ngorongoro hazitakuacha salama

Hili suala la Ngorongoro ni pasua kichwa kweli kweli japo magazeti' machache yamejaribu kuligusia......ila wizara husika ipo kimya tu.
 
Kwa nini mnapenda kusema watu wanatumiwa? Hata mimi ninajua eco system yeyote inahitaji balance. Kuna kiwango cha activities za binadamu ambazo zinaweza kuvumiliwa, zaidi ya hapo tunaua hifadhi. Wamasai na mifugo yao wamezidi idadi inayo stahimilika. Inabidi tuchague moja, tukubali Ngorongoro iwe boma au iendelee kuwa hifadhi. Hatuwezi kuwa na vyote viwili.

Amandla...
 
Kila kitu kina capacity ndugu mtoa hoja .... unataka watalii waende kwenye Crater kushangaa ng’ombe na idadi kubwa ya watu!?


Hiyo mwaka 1950s population ya watu na mifugo ilikuwaje ukilinganisha na sasa hivi ?
 
Mwndishi suala la balance of Nature limempita mbali ! Lazima eco system ilindwe .. bila hivo hakuna sustainable growth
 
Kila kitu kina capacity ndugu mtoa hoja .... unataka watalii waende kwenye Crater kushangaa ng’ombe na idadi kubwa ya watu!?


Hiyo mwaka 1950s population ya watu na mifugo ilikuwaje ukilinganisha na sasa hivi ?
You stated so...its our duty to speak on behalf of those innocent people that NCCA decided to use monetary power to evict them in the name of conservation.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unafahamu sababu za Ngorongoro kuwa mamlaka kamili ya hifadhi inayojitegemea?....Kwani hao wamasai hawakuwa kuhamishwa miaka ya nyuma?..

...hili suala linachanganya sababu kumeibuka wimbi la wasemaji wengi na ngumu kujua ukweli upo wapi...

anyway suala la Ngorongoro kulindwa ni lazima....ila isilindwe kwa gharama ya watu kuteseka,kuumizwa na kufanywa wakimbizi wa ndani....lazima utaratibu uwekwe na ufatwe.
 
Huo utafiti umeutoa wapi? Au ni speculation zako tu?

Sent using Jamii Forums mobile app
Watu wenye akili ndogo kama nyie ndio mnahitaji utafiti kuona jambo ambalo liko wazi.

Sisi wengine tunaona mambo kwa macho ya kawaida tu..

Hili la ngorongoro huhitaji kua na akili kubwa kuliona, liko wazi kabisa.

Kama mwaka 1970 watu walikua 8000, leo wako 120k, miaka 50 ijayo watakua 300k ama zaidi, je eneo la makazi la watu 8k wa mwaka 1970 na watu 120k wa sasa liko sawa? Mwaka 2070 je eneo litakua lilelile kama watu wanaongezeka na ardhi haiongezeki?

Ni simple kwamba hata eneo la kuchunga wanyama litapungua, kwa msingi huo hata wanyama watakimbia kwa sababu ya kuongezeka kwa ushindani wa kutumia resources zilizopo kati ya wanyama na binadamu.

Hii simple logic nayo unahitaji utafit? Hii nchi imejaa watu wajinga sana.
 

umeilezea vizuri, in simple logic...

Ni Wamasai wakae Ngorongoro ife au Wamasai waondoke na Ngorongoro ibaki..
 
Unaleta taarifa kana kwamba kila mtu anajua kitenga kafanyaje
 
Watu wanahamishwa barabara ikijengwa, watu wanahamishwa pakigundulika ardhi Ina madini yaani nyie ni kina nani msihamishwe ??? Fools
Never ever call us FOOLS.Tunaheshimu maoni/mawazo yako na hatulazimiki kuyakubali/kuyafuata, hili tuachiwe sisi na serikali yetu.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Binadamu mtaondoka ngorongoro mtake msitake.... MTAONDOKA. Hiyo ni anuani nakupa kwa hiyo jihadhari.... MNAJISIFIA KUISHI NA WANYAMA KUMBE NI WANAFIKI WAKUBWA.... mtaondoka. ETI UNASEMA HAMLI SWALA WAKATI KUNA MBUZI???? Muongo mkubwa wewe.... unadai hamuui simba na wanyama wengine???? ACHA UNAFIKI WEWE..... Ushahidi upo na mtaondoka.
 
Sina muda wa kumtetea mtanzania mwenzangu kila mtu abebe mzigo wake. Kuna raia wakiteswa katika nchi hii mnakaa kimya ila wakiteswa wengine mnataka kuwe na collective efforts za kuwatetea. Hell no!


Tesekeni kimpango wenu. Kila mtu abebe mzigo wake.

Wafurusheni hao wamasai humo ngorongoro
 
Leta ushahidi acha kubwabwaja!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyu katumiwa kimkakati.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ondoa masai wote wabaki 800 na mifugo yao 120k kama vivutio vya watalii.

Nasema hivi Ngorongoro ni mhimu zaidi kuliko hao masai.

Masai anaweza ishi hata mjini ila ngorongoro haiwezi kuishi sehemu yeyote tofauti na hapo.

Free ngorongoro.
 
Watanzania hatupendi hifadhi. Tuna amini kuwa tuna mkataba maalum na mwenyezi Mungu. Mifano iko mingi sana. Michache hii hapa:
1. Tuna mpango wa kujenga reli, viwanja vya ndege na kuongeza mahoteli Serengeti.
2. Tunataka kujenga kiwanda Lake Natron.
3. Hii ya Ngorongoro.
4. Tunajenga bwawa Stieglers na tumekata mamilioni ya miti kwa ajili hiyo.
5. Tunavua samaki kwa baruti na sumu.
Tunasikitisha sana

Amandla...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…