Analipwa asee! ni miongoni mwa kazi zao kwenye hilo tawi la CCM.Sasa ajue kwamba siyo kila sehemu ni ya kugusa! Atajiharibia kwa tamaa ya cheo na vipande vya sarafu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Analipwa asee! ni miongoni mwa kazi zao kwenye hilo tawi la CCM.Sasa ajue kwamba siyo kila sehemu ni ya kugusa! Atajiharibia kwa tamaa ya cheo na vipande vya sarafu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha kumtisha kitenge wewe.. hujui maulidi anatetea maslah mapana ya nchi???Somebode say...AirPods journalist is looking towards being District Commissioner or equivalent in this regime.
FYI my Brother Mshambuliaji, hawa ndugu zetu pale wapo kihalali na walihamishwa toka miaka 1950's kutoka serengeti na nakukumbusha kuna amri ya mahakama ya Africa Mashariki EACJ inaikataza Serikali kuwaondoa na serikali imekuwa ikiheshimu Amri hiyo tangu sept 2018 (under Magu regime).
Kabla hujasema ya wanangorongoro chukua time ujifunze kwanza. Kwanza hushangai wanyamapori wanaweza vipi kuishi na binadamu bila kudhuriana? Hivi kweli hujui kwamba hiyo coexistance iliyopo kati ya wanyamapori na na ng'ombe ipo miaka mingi na ndio kitu mojawapo inayovutia watalii, (pengine huna exposure )na ni aibu kwa kijana wa jamii ya pale kula swala au pundamilia wakati mbuzi wapo..
Anyway ni hivi kama unalipwa pesa kufanya propaganda acha mara moja, japo tunasikia kuna kitengo cha Intel NCCA wanahusika kufanya installment ya malipo..(tutacomfirm baadaye)
Tafuta takwimu ujue kama kweli hii hifadhi ipo hatarini , nanakuhakikishia HAKUNA, na kama ipo inakinzana na hali iliopo.
Nakukumbusha acha mara moja hizi propaganda, Zitakuaharibia.
Pia soma > Hali ya Ngorongoro na wana-habari wanaoshinikiza wamasaai waondolewe hawajui chochote wanatumika vibaya bila kujua
Umeelewa nilichoandika? Kwani walivyoondolewa waliobaki wahawazaliani?Lete ushahidi.Yaani unataka kutuambia watu waliokuwepo kwenye kisiwa cha Ukerewe wakati wa utawala wa Nyerere walikuwa wengi kuliko waliopo sasa?Au kisiwa kimepanuka kuhimili kuongezeka kwa watu.
Mbona operation za kupunguza watu kwenye kisiwa hazikuendelea?
Hujui kinachoendelea, stay on youe lane.Acha kumtisha kitenge wewe.. hujui maulidi anatetea maslah mapana ya nchi???
Kwenye hili Ngogo nipo pamoja na wewe kuhama lazima wahame wasijione SPESHO zaidi ya WaTanzania wengine....Usiandike kishabiki hali ya Ngorongoro inasikitisha,inakatisha tamaa & ina huzunisha.
Ni kweli Waasai wapo ngorongoro miaka mingi wakishi na wanyama pori na mifugo yao.Wakati huo Mamlaka inaanzishwa idadi ya watu ilikuwa 8,271 na idadi ya mifugo ilikuwa 30,000.Nyumba za wamaasai zilikuwa aina ya combi
View attachment 2109828
Leo idadi ya Maasai ni 120,000 huku idadi ya mifugo yao ikifikia zaidi ya 1,000,000 na makaazi yao yakiondoka katika uasilia na kwenda kwenye usasa.Leo hii mabati msouth yamejaa Ngorongoro.Mmaasai anajenga nyumba za kisasa hadi maghorofa yamejengwa ndani ya hifadhi mgeni akitembelea Ngorongoro anakutana na Kondoo,Mbuzi na Ng'ombe kwa wingi kuliko Simba au Nyati.
Lazima Tanzania ichukue hatua kali na madhubuti kuokoa Ngorongoro.Kumezuka NGOs nyingi tena nyingine zikiasisiwa Kenya zipo pale kwaali ya kutetea ujinga na kuona Ngorongoro inakufa.Hii vita asili yake kubwa ni Kenya ambayo inaumizwa sana na uwepo wa Ngorongoro,Serengeti na Kilimanjaro.Kenya kupitia idara yake ya ujasusi inafahamu wazi ushindani wa utalii ni vivutio na wakiangalia hizo Mbuga tatu wanaona bora waiumize walau moja ambayo ni Ngorongoro.
Hizi NGOs nyingi zinawadanganya wamaasai Ngorongoro ni mali yao,serekali haina chao sasa huu ujinga ungemalizwa na vingozi wenye maamuzi mazito ikiwemo kuirejesha Ngorongoro TANAPA na kuifanya HIFADHI kama zilivyo Manyara,Serengeti,Kilimajaro au Mikumi.Wamaasai wahamishwe wote Tanzania bado ina mapori mengi.
Naona kitenge kimepata madoa yasiyotoka ila kwa namna moja au nyingine binadamu na wanyama posri wamekuwa waki coexist wote hasa Ngorongoro lakini hatuwezi fananisha population ya watu na mifugo yao Ngorongoro miaka 10 au 20 iliyopita, hapana kwa sasa population imeongezeka maradufu na hii inaleta hadhari kwenye ecosystem ya Ngorongoro na solution hapa ni either idadi ya watu ipunguzwe kama ilivyokuwa ikifanyika ili kubalance ecosystem ya eneo maana kuna kuwa na ushindani wa chakula katinya wanyama na mifugo pia watu wanapo ongeza makazi nayo inaleta usumbufu kwenye ecologia ya eneona hapo ndipo wanyama wanakuwa disturbed kwa mambo haya maana hawapendi bugudha japo in time population itaongezeka tena kwaajili ya kuzaliana. Kingine ili kuzui ongezeko la watu na mifugo basi hapo ni watu wote wanaoishi humo hidadhini Ngorongoro kuamishwa kabisa nakupatiwa maeneo mapya makubwa yenye pori ili kuweza kulea mifugo bila usumbufu na hili litaiyondolea Ngorongoro sifa kwasababu sifa yake kubwa ni coexistence ya wanyamapori na binadamu katika eneo moja.Somebode say...AirPods journalist is looking towards being District Commissioner or equivalent in this regime.
FYI my Brother Mshambuliaji, hawa ndugu zetu pale wapo kihalali na walihamishwa toka miaka 1950's kutoka serengeti na nakukumbusha kuna amri ya mahakama ya Africa Mashariki EACJ inaikataza Serikali kuwaondoa na serikali imekuwa ikiheshimu Amri hiyo tangu sept 2018 (under Magu regime).
Kabla hujasema ya wanangorongoro chukua time ujifunze kwanza. Kwanza hushangai wanyamapori wanaweza vipi kuishi na binadamu bila kudhuriana? Hivi kweli hujui kwamba hiyo coexistance iliyopo kati ya wanyamapori na na ng'ombe ipo miaka mingi na ndio kitu mojawapo inayovutia watalii, (pengine huna exposure )na ni aibu kwa kijana wa jamii ya pale kula swala au pundamilia wakati mbuzi wapo..
Anyway ni hivi kama unalipwa pesa kufanya propaganda acha mara moja, japo tunasikia kuna kitengo cha Intel NCCA wanahusika kufanya installment ya malipo..(tutacomfirm baadaye)
Tafuta takwimu ujue kama kweli hii hifadhi ipo hatarini , nanakuhakikishia HAKUNA, na kama ipo inakinzana na hali iliopo.
Nakukumbusha acha mara moja hizi propaganda, Zitakuaharibia.
Pia soma > Hali ya Ngorongoro na wana-habari wanaoshinikiza wamasaai waondolewe hawajui chochote wanatumika vibaya bila kujua
Nakuambia East or West, Home is the BEST.Uzuri wake mtaongea Ila mtahama tu msijifamye na nyie ni pundamilia.
Aache mihemko na kutafuta teuzi za udc na ukurugenzi bila maarifa.Acha kumtisha kitenge wewe.. hujui maulidi anatetea maslah mapana ya nchi???
Huyo maslahi mapana yataifa wewe unayajua au nimmoja wao yawale wanaotafua cake yataifa ni sema hii nchi sio mal yenu pekeenu, kuna watu hata nyama yaswala tu kula hatuijui ila nyie mliojipa mamlaka mnatoa order tu leo nataka nyama yatwiga mnaletewa nanyie ndo mnamaliza wanyama sio wamasaiWatu wanahamishwa barabara ikijengwa, watu wanahamishwa pakigundulika ardhi Ina madini yaani nyie ni kina nani msihamishwe ???
The fact kwamba mlikuwepo hapo from 1950's haiwapi legality ya kuendelea kukaa Kama itaonekana mnaweka threat kwa wanyama pori.
As long as eneo hilo lilishatangazwa kuwa protected na sheria sioni sababu ya hao wamasai kung'ang'ania after all hakina walichojenga au wanacholima zaidi ya kufuga ng'ombe wanaonyang'anyana malisho maana wanacholazimisha ni kupata Yale mapori ambapo kwingine wanajua hawataweza kufuga kwa style Ile .
Tuwe na uchungu na taifa letu, ng'ombe wanaongezeka na familia zao zinaongezeka siku Hadi siku, better late than never.
Hii nchi tunaongozwa kwa sheria, mbona wengine wanahamishwa kupisha maslahi mapana ya Taifa?? Kwa nini wao wajione ndio wenye nchi pekee?
Huenda jamaa akawa ni "Afisa Kipenyo"hahahaha nakumbuka alivyozuia vijana kufanya kazi yao kwenye issue ya Nape mpaka ndugu yetu Harmorapa akakimbia... at the end hakuguswa na maisha yakaendelea...
Kwa kuwa mmeona ni rahisi kuwatimua machina kariakoo basi wae de na kule..na baadae loliondo..na baadae waende Ikulu sasa.Acheni ujinga nyie maasai hameni hifadhini huko mmeshakuwa wengi kuliko uwezo, ningekuwa na amri ningewatwanga mabomu mufe tu
Ukerewe kunavisiwa vingi sio kimoja kama unavyodhani.Lete ushahidi.Yaani unataka kutuambia watu waliokuwepo kwenye kisiwa cha Ukerewe wakati wa utawala wa Nyerere walikuwa wengi kuliko waliopo sasa?Au kisiwa kimepanuka kuhimili kuongezeka kwa watu.
Mbona operation za kupunguza watu kwenye kisiwa hazikuendelea?
Wakati Lissu anatandikwa masase hizo NGOs zao kama utitiri za kutete HAKI walikaa kimyaa sasa WAJIBEBESina muda wa kumtetea mtanzania mwenzangu kila mtu abebe mzigo wake. Kuna raia wakiteswa katika nchi hii mnakaa kimya ila wakiteswa wengine mnataka kuwe na collective efforts za kuwatetea. Hell no!
Tesekeni kimpango wenu. Kila mtu abebe mzigo wake.
Wafurusheni hao wamasai humo ngorongoro
We ni mjinga fulani ambaye hata ni kikuuliza hili jina la Ngorongoro maana yake nini utabaki unavuja jasho tu!Hao wamasaai watahamishwa tu ili mradi huu mradi unaenda kulinda mali asili yetu kama taifa.
Hata muende wapi hamtoweza kuizuia serikali kukamilisha miradi yake yenye tija kwa watanzania.
Kama umetumwa na wakenya ambao kimsingi wanapigana kuhakikisha Ngorongoro inapoteza uasili wake ili wao wanaufaike na madhaifu hayo basi kawambie kuwa watanzania wapo macho.