Maulid Kitenge, propaganda ulizotumwa kuzifanya kwa wana-Ngorongoro hazitakuacha salama

Maulid Kitenge, propaganda ulizotumwa kuzifanya kwa wana-Ngorongoro hazitakuacha salama

Sasa mkiwafukuza hao Wamasai si wataingia kwenye ujangili wamalize kabisa hao wanyama pori? Kuna kitu kinaitwa "law of uninteded consequences" lazima kiangaliwe. Kuwafukuza Wamasai unaweza kuwa unatatua tatizo moja halafu unaleta tatizo lingine la ujangili bila kutegemea.
 
Watu wanahamishwa barabara ikijengwa, watu wanahamishwa pakigundulika ardhi Ina madini yaani nyie ni kina nani msihamishwe ???

The fact kwamba mlikuwepo hapo from 1950's haiwapi legality ya kuendelea kukaa Kama itaonekana mnaweka threat kwa wanyama pori.

As long as eneo hilo lilishatangazwa kuwa protected na sheria sioni sababu ya hao wamasai kung'ang'ania after all hakina walichojenga au wanacholima zaidi ya kufuga ng'ombe wanaonyang'anyana malisho maana wanacholazimisha ni kupata Yale mapori ambapo kwingine wanajua hawataweza kufuga kwa style Ile .

Tuwe na uchungu na taifa letu, ng'ombe wanaongezeka na familia zao zinaongezeka siku Hadi siku, better late than never.

Hii nchi tunaongozwa kwa sheria, mbona wengine wanahamishwa kupisha maslahi mapana ya Taifa?? Kwa nini wao wajione ndio wenye nchi pekee?
Wakati wa utawala wa Nyerere alishawahi hamisha baadhi ya Wananchi kutoka kisiwa Cha Ukerewe mkoani Mwanza maana walikuwa overpopulated kulinganisha na eneo lenyewe
 
Somebode say...AirPods journalist is looking towards being District Commissioner or equivalent in this regime.

FYI my Brother Mshambuliaji, hawa ndugu zetu pale wapo kihalali na walihamishwa toka miaka 1950's kutoka serengeti na nakukumbusha kuna amri ya mahakama ya Africa Mashariki EACJ inaikataza Serikali kuwaondoa na serikali imekuwa ikiheshimu Amri hiyo tangu sept 2018 (under Magu regime).

Kabla hujasema ya wanangorongoro chukua time ujifunze kwanza. Kwanza hushangai wanyamapori wanaweza vipi kuishi na binadamu bila kudhuriana? Hivi kweli hujui kwamba hiyo coexistance iliyopo kati ya wanyamapori na na ng'ombe ipo miaka mingi na ndio kitu mojawapo inayovutia watalii, (pengine huna exposure )na ni aibu kwa kijana wa jamii ya pale kula swala au pundamilia wakati mbuzi wapo..

Anyway ni hivi kama unalipwa pesa kufanya propaganda acha mara moja, japo tunasikia kuna kitengo cha Intel NCCA wanahusika kufanya installment ya malipo..(tutacomfirm baadaye)

Tafuta takwimu ujue kama kweli hii hifadhi ipo hatarini , nanakuhakikishia HAKUNA, na kama ipo inakinzana na hali iliopo.

Nakukumbusha acha mara moja hizi propaganda, Zitakuaharibia.

Pia soma > Hali ya Ngorongoro na wana-habari wanaoshinikiza wamasaai waondolewe hawajui chochote wanatumika vibaya bila kujua
Waarabu wametoa pesa ili wamasai watolewa hifadhini,kitenge njaa ndio zinamsumbua kapewa pesa na mgese mwenzake wakaropoke...kma mifugo imeongezeka waipunguze ili wamasai wabaki
 
Watu wanahamishwa barabara ikijengwa, watu wanahamishwa pakigundulika ardhi Ina madini yaani nyie ni kina nani msihamishwe ???

The fact kwamba mlikuwepo hapo from 1950's haiwapi legality ya kuendelea kukaa Kama itaonekana mnaweka threat kwa wanyama pori.

As long as eneo hilo lilishatangazwa kuwa protected na sheria sioni sababu ya hao wamasai kung'ang'ania after all hakina walichojenga au wanacholima zaidi ya kufuga ng'ombe wanaonyang'anyana malisho maana wanacholazimisha ni kupata Yale mapori ambapo kwingine wanajua hawataweza kufuga kwa style Ile .

Tuwe na uchungu na taifa letu, ng'ombe wanaongezeka na familia zao zinaongezeka siku Hadi siku, better late than never.

Hii nchi tunaongozwa kwa sheria, mbona wengine wanahamishwa kupisha maslahi mapana ya Taifa?? Kwa nini wao wajione ndio wenye nchi pekee?
Nakuunga mkono kwa 100?
Wao ni kina nani ndani ya nchi hii hadi wanafikia hatua ya kuwatishia watu?
 
Somebode say...AirPods journalist is looking towards being District Commissioner or equivalent in this regime...
Wewe jamaa ndo mkuu wa wilaya au ndo Mkurugenzi hapo Ngorongoro?? Mbona Kama unaogopa kutumbuliwa....maulid apo anahusika vipi wakati yy alikua akichambua magazeti?
 
Huo utafiti umeutoa wapi? Au ni speculation zako tu?

Sent using Jamii Forums mobile app
Hao wamasaai watahamishwa tu ili mradi huu mradi unaenda kulinda mali asili yetu kama taifa.

Hata muende wapi hamtoweza kuizuia serikali kukamilisha miradi yake yenye tija kwa watanzania.

Kama umetumwa na wakenya ambao kimsingi wanapigana kuhakikisha Ngorongoro inapoteza uasili wake ili wao wanaufaike na madhaifu hayo basi kawambie kuwa watanzania wapo macho.
 
Mbona kama unamtisha mkuu, unaposema propaganda zake hazitamuacha salama una maanisha nini?
Aache upumbavu, wakati Magufuli ana establish stigglers dam na kukata mamilioni ya miti na kutowesha species mbalimbali za wanyama na mimea mbona hatukuona anaenda na kimedia chake uchwara propaganda zake za uharibifu wa mazingira.?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Fanya utafiti acha upuuzi, unajua Mahakama ya EACJ ilifanya maamuzi gani hadi Serikali ya Tanzania ikacease kufanya hilo unaloamini? Tena chini ya Shujaa that time!.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona umepanick unaanza kuita watu wapuuzi we njeree? Ngoja basi twende kwa style yako coko wewe. Hameni mje kuwa walinzi fala wewe mxng sana.

Mmezoea kukaa matako wazi mnaogopa kuhama vichakani.
 
Hao wamasaai watahamishwa tu ili mradi huu mradi unaenda kulinda mali asili yetu kama taifa.

Hata muende wapi hamtoweza kuizuia serikali kukamilisha miradi yake yenye tija kwa watanzania.

Kama umetumwa na wakenya ambao kimsingi wanapigana kuhakikisha Ngorongoro inapoteza uasili wake ili wao wanaufaike na madhaifu hayo basi kawambie kuwa watanzania wapo macho.
Huyu ni fala sana wahame mbugani Tanzania Ina ardhi kubwa sana wapuuzi hawa.
 
Never ever call us FOOLS.Tunaheshimu maoni/mawazo yako na hatulazimiki kuyakubali/kuyafuata, hili tuachiwe sisi na serikali yetu.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
It's a law and a fact unless you are one of fools wanaopinga kuhamishwa vichakani. Watu wanahamishwa kukiwa na Madini kwenye ardhi, kukiwa chanzo Cha maji, kukiwa eneo la barabara sasa nyie ni kina Nani msihame ?

Mtahama tu.
 
Hao wamasaai watahamishwa tu ili mradi huu mradi unaenda kulinda mali asili yetu kama taifa.

Hata muende wapi hamtoweza kuizuia serikali kukamilisha miradi yake yenye tija kwa watanzania.

Kama umetumwa na wakenya ambao kimsingi wanapigana kuhakikisha Ngorongoro inapoteza uasili wake ili wao wanaufaike na madhaifu hayo basi kawambie kuwa watanzania wapo macho.
Wakati Magufuli anakata mamilioni ya miti na kuharibu species za wanyama na mimea alipokuwa anaestablish Nyerere dam hamkupinga mkaufyata..

Leo mnadhani kuwaondoa jamii ya kimaasai pale ndio mnahifadhi uasili bila kujua mnatengeneza tatizo..FYI ule ni mpango wa Top Anonymous to invest there..we kapuku kaa ukifikiri unatetea Taifa kumbe unatetea ulaji wa watu kwa namna nyingine.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakati wa utawala wa Nyerere alishawahi hamisha baadhi ya Wananchi kutoka kisiwa Cha Ukerewe mkoani Mwanza maana walikuwa overpopulated kulinganisha na eneo lenyewe
Namshangaa huyu njeree anajifanya hero watahama tu. Wenye akili wamehama mapema wametafuta maeneo nje ya Mbuga sasa Hawa wanaobisha ndio watafurahishwa .

Uzuri wake askari wa pori wanawajua
 
Wakati wa utawala wa Nyerere alishawahi hamisha baadhi ya Wananchi kutoka kisiwa Cha Ukerewe mkoani Mwanza maana walikuwa overpopulated kulinganisha na eneo lenyewe
Lete ushahidi.Yaani unataka kutuambia watu waliokuwepo kwenye kisiwa cha Ukerewe wakati wa utawala wa Nyerere walikuwa wengi kuliko waliopo sasa?Au kisiwa kimepanuka kuhimili kuongezeka kwa watu.
Mbona operation za kupunguza watu kwenye kisiwa hazikuendelea?
 
Wakati Magufuli anakata mamilioni ya miti na kuharibu species za wanyama na mimea alipokuwa anaestablish Nyerere dam hamkupinga mkaufyata..

Leo mnadhani kuwaondoa jamii ya kimaasai pale ndio mnahifadhi uasili bila kujua mnatengeneza tatizo..FYI ule ni mpango wa Top Anonymous to invest there..we kapuku kaa ukifikiri unatetea Taifa kumbe unatetea ulaji wa watu kwa namna nyingine.

Sent using Jamii Forums mobile app
Uzuri wake mtaongea Ila mtahama tu msijifamye na nyie ni pundamilia.
 
Back
Top Bottom