Maulid Kitenge wa E-Fm huo uufanyao sasa siyo Utangazaji bali ni uswahili!

Maulid Kitenge wa E-Fm huo uufanyao sasa siyo Utangazaji bali ni uswahili!

Wakuu Szczesyn na Wambura Marwa, nimefanya updates kwa picha za mazoezi ya Gunners kule kwenye jukwaa letu tukufu.

Enendeni mkatembelee na mjione wenyewe, japo kwa dakika chache.

Huyu Maulidi Baraka wa Kitenge atakuwa amepata ujumbe.
 
Japo huu uzi umeanzishwa na mtangazaji wa redio ya mawingu,lakini Kitenge ana mambo ya nanii sana,kwanini ana pendekea wavamizi wa michezo
 
Back
Top Bottom