Szczesny
JF-Expert Member
- Apr 15, 2016
- 7,180
- 25,923
HahahaKwahiyo kama Mwenyezi Mungu " kaniteua " kwa kunipa nilichonacho na ambacho ninaamini Wewe huna nisirnge?
Majivuno huja kabla ya anguko
Siku ambayo uta acha kujihisi wewe ndo binadamu uliye sahihi kuliko wote utafika mbali sana
Ila ukiendelea hivi kuwa na prides zczo maana utakuja kuwa moja ya watu wajinga zaid duniani