Richard JF-Expert Member Joined Oct 23, 2006 Posts 15,692 Reaction score 23,038 Jul 23, 2016 #101 Wakuu Szczesyn na Wambura Marwa, nimefanya updates kwa picha za mazoezi ya Gunners kule kwenye jukwaa letu tukufu. Enendeni mkatembelee na mjione wenyewe, japo kwa dakika chache. Huyu Maulidi Baraka wa Kitenge atakuwa amepata ujumbe.
Wakuu Szczesyn na Wambura Marwa, nimefanya updates kwa picha za mazoezi ya Gunners kule kwenye jukwaa letu tukufu. Enendeni mkatembelee na mjione wenyewe, japo kwa dakika chache. Huyu Maulidi Baraka wa Kitenge atakuwa amepata ujumbe.
leodigardcyrilo JF-Expert Member Joined May 17, 2015 Posts 3,340 Reaction score 1,748 Jul 23, 2016 #102 hajatulia kitenge
Jaji Mfawidhi JF-Expert Member Joined Feb 20, 2016 Posts 15,835 Reaction score 23,776 Jul 23, 2016 #103 Japo huu uzi umeanzishwa na mtangazaji wa redio ya mawingu,lakini Kitenge ana mambo ya nanii sana,kwanini ana pendekea wavamizi wa michezo
Japo huu uzi umeanzishwa na mtangazaji wa redio ya mawingu,lakini Kitenge ana mambo ya nanii sana,kwanini ana pendekea wavamizi wa michezo