Tetesi: Maulid Mtulia anataka kugombea Jimbo la Kinondoni kupitia CCM baada ya kujitoa CUF

Tetesi: Maulid Mtulia anataka kugombea Jimbo la Kinondoni kupitia CCM baada ya kujitoa CUF

Bata batani

JF-Expert Member
Joined
Nov 11, 2011
Posts
3,217
Reaction score
3,694
Kuna taarifa za chini kwa chini kuwa Maulid Mtulia baada ya kujiondoa CUF katika ubunge na kujiunga na CCM.

Anajipanga kugombea jimbo hilo tena kwa mara ya pili kupitia CCM

Je ni kweli atafanikiwa kurudi bungeni kupitia CCM.

Je ikitokea nafasi aliyotegemea kugombea ubunge kupitia CCM akaikosa

Je atakuwa yupo tayali kurudi CUF na kuomba msamaha na CUF wakampokea na akagombea kwa mara ya pili?
 
Kuna taarifa za chini kwa chini kuwa maulid mtulia baada ya kujiondoa CUF katika ubunge na
Kujiunga na CCM.

anajipanga kugombea Jimbo hilo tena kwa mara ya pili kupitia CCM

JE NI KWELI ATAFANIKIWA KURUDI BUNGENI KUPITIA CCM.

JE IKITOKEA NAFASI ALIYOTEGEMEA KUGOMBEA UBUNGE KUPITIA CCM AKAIKOSA

JE ATAKUWA YUPO TAYALI KURUDI CUF NA KUOMBA MSAMAHA NA CUF WAKAMPOKEA NA AKAGOMBEA KWA MARA YA PILI?
Ajikumbushe tu yaliyomkuta mzee Mecky Sadick kule Mwanza, kwa kifupi CCM ina wenyewe na hasa jijini Dsm!!
 
Kuna taarifa za chini kwa chini kuwa maulid mtulia baada ya kujiondoa CUF katika ubunge na
Kujiunga na CCM.

anajipanga kugombea Jimbo hilo tena kwa mara ya pili kupitia CCM

JE NI KWELI ATAFANIKIWA KURUDI BUNGENI KUPITIA CCM.

JE IKITOKEA NAFASI ALIYOTEGEMEA KUGOMBEA UBUNGE KUPITIA CCM AKAIKOSA

JE ATAKUWA YUPO TAYALI KURUDI CUF NA KUOMBA MSAMAHA NA CUF WAKAMPOKEA NA AKAGOMBEA KWA MARA YA PILI?
Hao watu wanajiuzulu ili uchaguzi ufanyike upya kwa gharama za walipa kodi kwa nini wasifungwe kwa kuliingizia hasara Taifa? Hata kama hana anachopinga kama mpinzania si aunge tuu mkono hoja za serikali bungeni badala ya kutupeleka kwenye matumizi makubwa ya fedha za walipa kodi?

Kama Mh Raisi yuko makini na mtumizi yasiyokuwa na tija hili nalo aliangalie kwa jicho la pili; hizi chaguzi za wabunge wanaohama vyama vyao ikiwezekana chama kilichompokea Mbunge kugharamie huo uchaguzi au Mbunge abaki kuwa Mbunge wa chama chake cha zamani hadi uchaguzi mkuu
 
Tueleze kwanza chanzo cha tetesi zako.kinyume na hapo hizo ni porojo zako tuu..kwanza CCM hawawezi kumpitisha kabisa.ni sawa na kufananisha FUTUHI na THE COMEDY
 
Sema mkuu kama unatuuliza sie vile. Hayo maswali ulipaswa umuulize lluhusika. Anyway sisi wananchi akigombea tena tutampa kama tulivyompa mara ya kwanza.
 
[emoji23] Kuelewa Mwanasiasa inakufaa uwe kama Mwendawazimu.
 
maulid mtulia baada ya kujiondoa CUF anajipanga kugombea Jimbo hilo tena kwa mara ya pili kupitia CCM

Kama kweli dau lake lilikuwa mpunga wake wote wa posho & mshahara ambao angeupata until 2020 pamoja na ile so called ''mkono wa kwaheri'', CCM wanaweza kumkata na kuweka mtu wao wanayemwamini zaidi. Once a traitor (mchumia tumbo), always one....
 
Tueleze kwanza chanzo cha tetesi zako.kinyume na hapo hizo ni porojo zako tuu..kwanza CCM hawawezi kumpitisha kabisa.ni sawa na kufananisha FUTUHI na THE COMEDY
Hizo ni taarifa za chini kwa chini hivyo tuwe wavumilivu katika hili hivyo tusubiri
 
Ingekuwa ni uwezo wangu huyu mtu ni wakupiga risasi tu.Wasaliti wote dawa yao ni kupiga risasi kama alivyowahi kusema Mkulu.Wananchi hawawezi kukuamini leo hii unawaona hawana maana.
 
Sema mkuu kama unatuuliza sie vile. Hayo maswali ulipaswa umuulize lluhusika. Anyway sisi wananchi akigombea tena tutampa kama tulivyompa mara ya kwanza.

Je ikitokea amekatwa kura za maoni au ameanguka katika ubunge.

Unadhani kisiasa ni nini itakuwa hatma yake
 
Kuna taarifa za chini kwa chini kuwa maulid mtulia baada ya kujiondoa CUF katika ubunge na
Kujiunga na CCM.

anajipanga kugombea Jimbo hilo tena kwa mara ya pili kupitia CCM

JE NI KWELI ATAFANIKIWA KURUDI BUNGENI KUPITIA CCM.

JE IKITOKEA NAFASI ALIYOTEGEMEA KUGOMBEA UBUNGE KUPITIA CCM AKAIKOSA

JE ATAKUWA YUPO TAYALI KURUDI CUF NA KUOMBA MSAMAHA NA CUF WAKAMPOKEA NA AKAGOMBEA KWA MARA YA PILI?
CCM wafia chama mtanyanyaswa mpaka lini? Kaja kufanya nini huyu ambacho hamkiwezi
 
Huyu keshavuta chake mapema, hana haja na ubunge tena. Sana sana atapewa jimbo la kimataifa (kupewa ubalozi nchi fulani)!
 
Ingekuwa ni uwezo wangu huyu mtu ni wakupiga risasi tu.Wasaliti wote dawa yao ni kupiga risasi kama alivyowahi kusema Mkulu.Wananchi hawawezi kukuamini leo hii unawaona hawana maana.
Wewe umesaliti vingapi mbona hujapigwa risasi. Hata wazazi wako umewasaliti wamekupiga risasi, haya ngoja watoto wako watakapokusaliti uwapige risasi.
 
Back
Top Bottom