Tetesi: Maulid Mtulia anataka kugombea Jimbo la Kinondoni kupitia CCM baada ya kujitoa CUF

Tetesi: Maulid Mtulia anataka kugombea Jimbo la Kinondoni kupitia CCM baada ya kujitoa CUF

Wanamsindikiza paulo mwana wa mfalme
 
Tueleze kwanza chanzo cha tetesi zako.kinyume na hapo hizo ni porojo zako tuu..kwanza CCM hawawezi kumpitisha kabisa.ni sawa na kufananisha FUTUHI na THE COMEDY
hapo kwenye kufananishafutuhi na the comedy na ccm kutompitisha sijaelewa mkuu
 
Atakaemchagua tena huyu mtulia basi akapimwe akili
 
HATUONGEI kuhusu kilimo tena. Hatuongei kuhusu upatikanaji wa maji. Hatuongei kuhusu umeme wenye kikohozi. Hatuongei kuhusu walimu waliokata tamaa. Siyo madini, utalii, elimu. Tumechagua kuongea kuhusu NANI amehama kambi moja ya siasa kwenda nyingine. WEZI.
 
Acha tu mkuu
 
POLITICAL HONEYMOON. It happens when you move from one political camp to the other. Sweet. After a while, reality starts sinking in. You start getting the "all men are dogs" kind of feeling. No romance. You have to wait until the next campaign season. Wait for your opioids.
 
Back
Top Bottom