Bata batani
JF-Expert Member
- Nov 11, 2011
- 3,217
- 3,694
MATOKEO GANIMsingi wa kurudi kwake CCM ni kumuunga Mkono Rais, kupata au kukosa Ubunge ni Matokeo tu
Ajikumbushe tu yaliyomkuta mzee Mecky Sadick kule Mwanza, kwa kifupi CCM ina wenyewe na hasa jijini Dsm!!Kuna taarifa za chini kwa chini kuwa maulid mtulia baada ya kujiondoa CUF katika ubunge na
Kujiunga na CCM.
anajipanga kugombea Jimbo hilo tena kwa mara ya pili kupitia CCM
JE NI KWELI ATAFANIKIWA KURUDI BUNGENI KUPITIA CCM.
JE IKITOKEA NAFASI ALIYOTEGEMEA KUGOMBEA UBUNGE KUPITIA CCM AKAIKOSA
JE ATAKUWA YUPO TAYALI KURUDI CUF NA KUOMBA MSAMAHA NA CUF WAKAMPOKEA NA AKAGOMBEA KWA MARA YA PILI?
Hao watu wanajiuzulu ili uchaguzi ufanyike upya kwa gharama za walipa kodi kwa nini wasifungwe kwa kuliingizia hasara Taifa? Hata kama hana anachopinga kama mpinzania si aunge tuu mkono hoja za serikali bungeni badala ya kutupeleka kwenye matumizi makubwa ya fedha za walipa kodi?Kuna taarifa za chini kwa chini kuwa maulid mtulia baada ya kujiondoa CUF katika ubunge na
Kujiunga na CCM.
anajipanga kugombea Jimbo hilo tena kwa mara ya pili kupitia CCM
JE NI KWELI ATAFANIKIWA KURUDI BUNGENI KUPITIA CCM.
JE IKITOKEA NAFASI ALIYOTEGEMEA KUGOMBEA UBUNGE KUPITIA CCM AKAIKOSA
JE ATAKUWA YUPO TAYALI KURUDI CUF NA KUOMBA MSAMAHA NA CUF WAKAMPOKEA NA AKAGOMBEA KWA MARA YA PILI?
MATOKEO GANI
maulid mtulia baada ya kujiondoa CUF anajipanga kugombea Jimbo hilo tena kwa mara ya pili kupitia CCM
Hizo ni taarifa za chini kwa chini hivyo tuwe wavumilivu katika hili hivyo tusubiriTueleze kwanza chanzo cha tetesi zako.kinyume na hapo hizo ni porojo zako tuu..kwanza CCM hawawezi kumpitisha kabisa.ni sawa na kufananisha FUTUHI na THE COMEDY
Sema mkuu kama unatuuliza sie vile. Hayo maswali ulipaswa umuulize lluhusika. Anyway sisi wananchi akigombea tena tutampa kama tulivyompa mara ya kwanza.
CCM wafia chama mtanyanyaswa mpaka lini? Kaja kufanya nini huyu ambacho hamkiweziKuna taarifa za chini kwa chini kuwa maulid mtulia baada ya kujiondoa CUF katika ubunge na
Kujiunga na CCM.
anajipanga kugombea Jimbo hilo tena kwa mara ya pili kupitia CCM
JE NI KWELI ATAFANIKIWA KURUDI BUNGENI KUPITIA CCM.
JE IKITOKEA NAFASI ALIYOTEGEMEA KUGOMBEA UBUNGE KUPITIA CCM AKAIKOSA
JE ATAKUWA YUPO TAYALI KURUDI CUF NA KUOMBA MSAMAHA NA CUF WAKAMPOKEA NA AKAGOMBEA KWA MARA YA PILI?
Huyu siyo mjinga! Keshavuta kitu kirefu tayari, kilichobaki ni kuendelea kula Kuku kwa mrija! Haya ni matumizi "halali" ya "Cody" zetu!Je ikitokea amekatwa kura za maoni au ameanguka katika ubunge.
Unadhani kisiasa ni nini itakuwa hatma yake
Wewe umesaliti vingapi mbona hujapigwa risasi. Hata wazazi wako umewasaliti wamekupiga risasi, haya ngoja watoto wako watakapokusaliti uwapige risasi.Ingekuwa ni uwezo wangu huyu mtu ni wakupiga risasi tu.Wasaliti wote dawa yao ni kupiga risasi kama alivyowahi kusema Mkulu.Wananchi hawawezi kukuamini leo hii unawaona hawana maana.