Mi Niko palee nangojea waweke ugoro kwa mpalange af ndo ntatia nenoAssalam aleykum
View attachment 2561389
Kama mnavyosoma hapo inaaminika wanawake zaidi ya asilimia 80 wanatumia tumbaku ili kujiongezea hamu ya mapenzi. Sasa ninachojiuliza ni kwamba mbona vitu vya kuongeza ashki ni vingi sana kwanini watumie ugoro??
Dah Kama wanawake wenzangu hadi tumbaku mnaweka kwa bibi basi mna hali mbaya...Si patakuwa panapiga chafya daily wajameni
Hayeni endeleeni tu
Moderator ninaomba unissidie kurekebisha heading iwe tumbaku badala ya ugoro.
Kwahiyo hiyo asilimia 80 na bi mkubwa wake na dada zake na shangazi zake na wakwe zake pia wamo? Maana asilimia 80 ni kubwa sana watakuwa waliobaki ni vikongwe tu.Assalam aleykum