Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asante kwa kuliona hili mapema.Wakipata cancer ya kizazi wanasingizia chanjo ya mzungu ndio kisababishi
Nimesikia baadhi ya wanaume wanalalamika kuwa mtepeto umezidi kumbe ndio ugoro unaivisha?Assalam aleykum
View attachment 2561389
Kama mnavyosoma hapo inaaminika wanawake zaidi ya asilimia 80 wanatumia tumbaku ili kujiongezea hamu ya mapenzi. Sasa ninachojiuliza ni kwamba mbona vitu vya kuongeza ashki ni vingi sana kwanini watumie ugoro??
Dah Kama wanawake wenzangu hadi tumbaku mnaweka kwa bibi basi mna hali mbaya...Si patakuwa panapiga chafya daily wajameni
Hayeni endeleeni tu
Moderator ninaomba unissidie kurekebisha heading iwe tumbaku badala ya ugoro.
Kimo namfukuzia Hasheem umri mdio 17😂Haya mdogo wa kimo na umri
Na raha ya mambo hayo upatiwe mda wowote unaotaka. Mbona nyie mkiomba tunawaptia bila kubana...Unakutana na Binti kila ukipiga yeye bado tu ndiyo kwanza anakuamsha saa 9 usiku anataka tena kabla ya saa 11 alfajiri kuomba Morning Glory 🤪🙈
Kwa sisi Wazee huchelewi kurudisha namba kwa Sir God.
Bora saivi mambo hayo tumewaachia Vijana wapambane nayo🏃🏃
Hizo takwimu za kupika. Utafiti ulihusisha wanawake wangapi? (N = ?) Sana sana labda wanawake watano walihusika na kati ya hao wanne wanafanya hivyo. Pamoja na kwamba ni kweli wanne kati ya watano ni asilimia 80, huwezi ukabainisha kwamba katika jamii yote asilimia 80 wanafanya hivyo. Kufikia inferential conclusion, ukubwa wa sampuli unahitajika; hiyo sampuli ilichukuliwaje; standard error of estimate ikoje; confidence interval ni ngapi; n.k.Assalam aleykum
View attachment 2561389
Kama mnavyosoma hapo inaaminika wanawake zaidi ya asilimia 80 wanatumia tumbaku ili kujiongezea hamu ya mapenzi. Sasa ninachojiuliza ni kwamba mbona vitu vya kuongeza ashki ni vingi sana kwanini watumie ugoro??
Dah Kama wanawake wenzangu hadi tumbaku mnaweka kwa bibi basi mna hali mbaya...Si patakuwa panapiga chafya daily wajameni
Hayeni endeleeni tu
Moderator ninaomba unissidie kurekebisha heading iwe tumbaku badala ya ugoro.
dada unataka habari zakotombn wewe😅😅nigee basi mzigohuoHaha
Don't be that serious mkuuHizo takwimu za kupika. Utafiti ulihusisha wanawake wangapi? (N = ?) Sana sana labda wanawake watano walihusika na kati ya hao wanne wanafanya hivyo. Pamoja na kwamba ni kweli wanne kati ya watano ni asilimia 80, huwezi ukabainisha kwamba katika jamii yote asilimia 80 wanafanya hivyo. Kufikia inferential conclusion, ukubwa wa sampuli unahitajika; hiyo sampuli ilichukuliwaje; standard error of estimate ikoje; confidence interval ni ngapi; n.k.
Mmetofautiana, kuna wengine hutoa ushirikiano kila tunapohitaji.Na raha ya mambo hayo upatiwe mda wowote unaotaka. Mbona nyie mkiomba tunawaptia bila kubana...
Yani nimelala na mume au kipozeo usiku mzima halafu nisijipimie khaaa
Yani hapo naisogeza tu upande wa pili igusane na bidada
PoleniMmetofautiana, kuna wengine hutoa ushirikiano kila tunapohitaji.
Wengine ukipiga mwisho viwili tu, baada ya hapo utasubiri hadi baada ya siku 3 au wiki ndiyo anakupa tena.
Inasemekana kuna Ke wenye high libido na wengine wenye Libido iko Chini.
Vitaje kwa faida ya wanajukwaaHahaha
Porn mbali kote huko kufanya nn
Kuna vyakula ukila ...ukinywa maji ya kutosha utelezi masaa 24