Dr Msweden
JF-Expert Member
- Nov 3, 2020
- 2,629
- 9,530
Huyo kitenge amepuyanga wanatumia ugoro kukata hamu ya kufanya mapenzi...Wanatumia ugoro kukata hisia ya kukutana na mwanaume, wanawake wengi wajane au walio mbali na wenza wao hasa mkoa wa tabora ndio wanatumia hiyo njia.Kukata genye au kutaka genye, mbona ni habari mchanganyiko.
Ukienda ORCI ocean road hospital wanawake wengi wa tabora ndio wanaongoza kupata kansa ya kizazi.