Maulidi kitenge: Wanawake wajipaka tumbaku sehemu za siri kupata msisimko wa mapenzi

Maulidi kitenge: Wanawake wajipaka tumbaku sehemu za siri kupata msisimko wa mapenzi

Asilimia 80 ya wanawake, huo utafiti ameufanya kwa wanawake wangapi
 
Assalam aleykum

View attachment 2561389

Kama mnavyosoma hapo inaaminika wanawake zaidi ya asilimia 80 wanatumia tumbaku ili kujiongezea hamu ya mapenzi. Sasa ninachojiuliza ni kwamba mbona vitu vya kuongeza ashki ni vingi sana kwanini watumie ugoro??

Dah Kama wanawake wenzangu hadi tumbaku mnaweka kwa bibi basi mna hali mbaya...Si patakuwa panapiga chafya daily wajameni

Hayeni endeleeni tu
Aache maneno yake ya kidhihaka. Atakuwa anashinda njaa bure
 
Back
Top Bottom