Sikiliza mkuu hiii kitu
Dhana ya mwanaume kibamia au mringoti imekuja juzi tuu hapa kwa kizazi hiki chenye UHURU ULIOKOSA NIDHAMU
Mambo ya kujiuliza ya hii dhana Ninini asili yake
- Uhuru wa mwanamke katika mwili wake yaan matumiz ya vizingiti mimba vimechochea wanawake kushiriki tendo la ndoa kiasi kwamba anajua maumbile mengi ya wanaume
- Kuanza mahusiano kabla ya umri hili limekua swala la kawaida kiasi kwamba mwanamke huyu mdogo anakutana na mwanaume wakwanza akampa akaridhika akienda kwa mwingine asipofikia alipofika wa awali anaona kabisa buree
Njoo miaka kurudi nyuma mke anaolewa hamjui mwanaume hajui kama kuna kulala pamoja ,ujawahi sikia vituko vya bibi zetu katika maswala ya ndoaa etiii 😏😏
Hata kwa mwanaume hajui mwanamke mpka anaona sasa Hawa hata wakilala wakikutana hakuna anae ona mwenzake mdhaifu au kuna kitu amezidi Kwan hana uzoefu kutoka sehemu nyingine sijui unanipata