i think you did not mean milioni kumi but kitu kingine like bilioni 10hii niliiona kwenye matangazo ya tra wakiwa pamoja na watu wa fire, ili kupunguza usumbufu wa ukusanyaji wa mapato. Watu wa fire watakuwa wanachukua asilimia 70 nyingine zinabaki tra. Kwa zoezi zima wanategemea kupata kiasi cha milioni kumi.
saumu ipi ewe mgalatia? hafungi mtu hapa, ni mwendo wa cognac kwa kwenda mbele..swaum kali
angalia kipepe mwingine huyu, magari yenyewe used bado mnataka kuchonga gega..hujalazimishwa kumiliki gari,,Acha kubonga pumba mambo mengine ni wizi mtu
kubemendwa ndio kimbwiga chenu?? karibu darisalama, huku tutakufundisheni swaga zote na kuongea kiswahili fasaha..Mkuu huyu jamaa siyo kosa lake bali alibemendwa
Acha majibu ya ki-mramba mramba, ni majibu ya kishetani hayafai kuyatoa ikiwa ww ni bin-adam uliyo 'perfect'. Hili suala ni la msingi cz unatoa hiyo 30,000 au 40,000 then haupewi mtungi bali unanunua mwenyewe, so the questions are, What are we paying for? Why is such huge amount like that?
ujumbe ni kwamba kama hela yako haijatimia usinunue gari, otherwise unatoa wrong impression kuwa unazo kumbe kabwela tu. duniani kote wene kipato kikubwa ndio wanaolipa kodi kubwa..siitetei serikali lakini ukweli wa mambo ndio huo.
unaongea as if tz is a perfect system..nchi ya ki-sultan hii kaka. doh!hii ni tofauti hapa kwetu mbna wengi wanacho lakini hawakilipii kodi mwenye kidogo ndo anaekilipia hyo kodi au ndo udhaifu wenyewe unaosemwa
angalia kipepe mwingine huyu, magari yenyewe used bado mnataka kuchonga gega..hujalazimishwa kumiliki gari,,
Acha majibu ya ki-mramba mramba, ni majibu ya kishetani hayafai kuyatoa ikiwa ww ni bin-adam uliyo 'perfect'. Hili suala ni la msingi cz unatoa hiyo 30,000 au 40,000 then haupewi mtungi bali unanunua mwenyewe, so the questions are, What are we paying for? Why is such huge amount like that?
Hakuna jipya hapo, badala ya kulipia ofisi za fire unalipia TRA. Tatizo nini? hayo malipo yalikuwepo toka mwanzo au hujawahi kuwa na gari?
mi nashangaa kilio chote cha nini kwa 'mmiliki wa gari', ingekua mmiliki wa pikipiki nisingeshangaa.. hahaa..Kwa hiyo unawashauri wanunue Toyo au Bajaji.
ukiona tabu uza gari yako upande toyo..
hutaki wewe na nani? ulinikuta JF na utaniacha..Hatutaki watu kama wewe katika ukimbu huu. Huyu jamaa kauliza swali la msingi. Kama ulikuwa huna jibu la swali lake bora ungekaa kimya kuliko kumwambia auze gari lake. You just don't fit in this forum! Wana ukimbi wote hebu tujaribu kuwa serious.
Nakuunga mkono kaka.tunanunua sticker,sticker zenyewe bullshit tU,hazina msaada wowote kwenye gari ni usanii tu...wezi wakubwa..funga wote!!
ujumbe ni kwamba kama hela yako haijatimia usinunue gari, otherwise unatoa wrong impression kuwa unazo kumbe kabwela tu. duniani kote wene kipato kikubwa ndio wanaolipa kodi kubwa..siitetei serikali lakini ukweli wa mambo ndio huo.
Zinedine,
Mbona kawaida tu kwani kunatofauti gani na zamani?
Hakuna jipya hapo, badala ya kulipia ofisi za fire unalipia TRA. Tatizo nini? hayo malipo yalikuwepo toka mwanzo au hujawahi kuwa na gari?