Maumivu kwa wenye magari: Utaratibu mpya wa kulipia road licence, Gharama za fire zaongezwa

Maumivu kwa wenye magari: Utaratibu mpya wa kulipia road licence, Gharama za fire zaongezwa

Acha majibu ya ki-mramba mramba, ni majibu ya kishetani hayafai kuyatoa ikiwa ww ni bin-adam uliyo 'perfect'. Hili suala ni la msingi cz unatoa hiyo 30,000 au 40,000 then haupewi mtungi bali unanunua mwenyewe, so the questions are, What are we paying for? Why is such huge amount like that?
hizi kodi nyengine ni wizi kwa wananchi, kodi ambayo msingi wake hauna mantiki wowotw, hivi stika inayotolewa na FIRE
  • INA UHUSIANO GANI NA KUZUIA JANGA LA MOTO?
  • JE SHERIA SI KUWEKA FIRE EXTINGUISHERS KWENYE GARI ? HII HAITOSHI ? MPAKA UKANUNUE NA STIKA?
  • KODI NYENGINE NI MIRADI YA WAKUBWA
  • UKIANGALIA WINGI WA MAGARI YALIOPO TANZANIA NI MANGAPI SIJUI LABDA ZAIDI YA 1,000,000 HIVI SASA NAGLIA HELA NGAPI WATAKUSANYA
  • NA ANGALIA UBOVU WA FIRE DEPARTMENT KWENYE HUDUMA
  • HATA GARI ZA KUTOSHA HAWANA ? SASA HIZI PESA ZA NINI KAMA SI ULAJI TU?
  • JEE MAGARI MANGAPI YANA UNGUA KWA MWAKA ? MPAKA ILAZIMISHWE SHERIA HII YA UONEVU?
  • SI SAWA KWA WENYE MAGARI KULIPA GHARAMA ZA KUENDESHA SHUGHULI ZA FIRE
  • HUU NIMRADI MWENGINE WA WAKUBWA
  • WAMELETA MAKONTENA YA FIRE EQUIPMENTS ILI IWE NI DEAL..HILI NI SAWA NA WAKATI WA SPEED GOVERNOR ...
  • KUENDESHA GARI TANZANIA IMEKUA NONGWA, MFANO SASA KUWA NA LAND CRUISER MFANO GHARAMA ZAKE NI KAMA HIVI
    [*=2]BIMA KUBWA WASTANI 3,000,0000
    [*=2]ROAD LICENNCE 300,OOO
    [*=2]FIRE EXTINGUISHER 50,000
    [*=2]FIRE STICKER 30,000
    [*=2]USALAMA BARABARANI 10,000
    [*=2]UBANI WA TRAFICK KWA MWAKA 100,000
 
mi nashangaa kilio chote cha nini kwa 'mmiliki wa gari', ingekua mmiliki wa pikipiki nisingeshangaa.. hahaa..

Kwangu mimi, gari au 'kipando'(gari,vespa,pikipiki,baiskeli,farasi,even punda) si anasa, but aina ya gari ndo inaweza kuwa anasa. Gari ni kundi la bidhaa za mahitaji ya lazma kama nyumba nzuri, mavazi mazuri na chakula kizuri. Binafsi hiyo kodi hainihusu kwani nimeshahama kitambo ktk hiyo nchi ya 'kitapeli' na hata ningelikuwepo, isingelinifanya nishindwe ku-drive, lakini najua effect yake. Na hata aliyeleta mada hii,hakushindwa kulipa hizo 30,000; but ni ya nini hasa? Kwanini wasii-peg kwenye kodi ya hiyo mitungi ili kuepuka malalamiko kama haya? S/times ni busara 'kuficha' namna ya kodi inavyokusanywa. Mwishowe nawanasihi kutokuwa na mawazo eti kumiliki gari ni kuwa na 'uwezo', si hivyo. Mazingira ya ubovu wa public transport ya dar ndo hufanya watu watumie gari kwenda maofsin, which z total wrong! Na nijuavyo, ktk hilo, serikali inapoteza kinyume na kuamini kuwa 'wanapata' kwani wengi(gvt emplyee) wataongeza juhudi za kuandika 'madokezo' ya 'kuiba' fedha 3times ya hizo ili ku-'trade off'. Yes nimefanyakazi bongo kabla kwa miaka 14 so naijua.
 
Hii niliiona kwenye matangazo ya TRA wakiwa pamoja na watu wa fire, ili kupunguza usumbufu wa ukusanyaji wa mapato. Watu wa fire watakuwa wanachukua asilimia 70 nyingine zinabaki TRA. Kwa zoezi zima wanategemea kupata kiasi cha milioni kumi.

Sahihisho mkuu ni 10 billion otherwise hayo mengine upo sawa
 
t
Tatizo c kulipa hizo 30000,ttz ni je zinatumika kufanyia kazi gani?.usikute zinaishia kwenye posho za safari na vikao visivyo na tija
Kaka,
Hata kodi zingine nazo zinaishia hukohuko kwenye safari na vikao visivyo na tija.

Hii kodi sidhani kama ina upya wa hivyo, labda iwe tu imebadilika muundo. Kwani mwaka jana nishawahi kukamatwa na watu wa Fire mitaa ya Mwenge-ITV wakadai gari haina Stika wa Mtungi wa Fire.

Malipo yake yakawa Stika-30,000 & Mtungi 30,000 ambazo nlilipa Cash wakanipatia. Nlipewa pia na Risiti ya Mtungi pale pale.

So ni kodi ya muda mrefu, imebadilika muundo kwamba badala ya kuviziana barabarani ambapo wengine tunabadili njia kuwakwepa, bora wakatudakie kulekule ampapo ni "Mtakuja"
 
hizi kodi nyengine ni wizi kwa wananchi, kodi ambayo msingi wake hauna mantiki wowotw, hivi stika inayotolewa na FIRE
  • INA UHUSIANO GANI NA KUZUIA JANGA LA MOTO?
  • JE SHERIA SI KUWEKA FIRE EXTINGUISHERS KWENYE GARI ? HII HAITOSHI ? MPAKA UKANUNUE NA STIKA?
  • KODI NYENGINE NI MIRADI YA WAKUBWA
  • UKIANGALIA WINGI WA MAGARI YALIOPO TANZANIA NI MANGAPI SIJUI LABDA ZAIDI YA 1,000,000 HIVI SASA NAGLIA HELA NGAPI WATAKUSANYA
  • NA ANGALIA UBOVU WA FIRE DEPARTMENT KWENYE HUDUMA
  • HATA GARI ZA KUTOSHA HAWANA ? SASA HIZI PESA ZA NINI KAMA SI ULAJI TU?
  • JEE MAGARI MANGAPI YANA UNGUA KWA MWAKA ? MPAKA ILAZIMISHWE SHERIA HII YA UONEVU?
  • SI SAWA KWA WENYE MAGARI KULIPA GHARAMA ZA KUENDESHA SHUGHULI ZA FIRE
  • HUU NIMRADI MWENGINE WA WAKUBWA
  • WAMELETA MAKONTENA YA FIRE EQUIPMENTS ILI IWE NI DEAL..HILI NI SAWA NA WAKATI WA SPEED GOVERNOR ...
  • KUENDESHA GARI TANZANIA IMEKUA NONGWA, MFANO SASA KUWA NA LAND CRUISER MFANO GHARAMA ZAKE NI KAMA HIVI
    [*=2]BIMA KUBWA WASTANI 3,000,0000
    [*=2]ROAD LICENNCE 300,OOO
    [*=2]FIRE EXTINGUISHER 50,000
    [*=2]FIRE STICKER 30,000
    [*=2]USALAMA BARABARANI 10,000
    [*=2]UBANI WA TRAFICK KWA MWAKA 100,000
It is a MIRACLE.!.jamaa leo kwa mara ya kwanza ameona fault ktk utawala wa Kikwete!
Labda niwe devil's advocate hapa, naona kiza ni kikubwa sana hapa, either kwa kutokujua au makusudi:
  • Ina uhusiano moja kwa moja na majanga ya moto, ndo maana inaitwa 'FIRE' sticker.
  • Wengine wanaweka fire-extinguisher isiofanya kazi kama mdoli, hiyo shurti ikaguliwe na wataalamu kuwa iko sawa na haijaisha
  • Kodi inalipwa benki itakuaje mradi wa wakubwa? wacha dhana potofu.
  • Idadi ya magari sio kazi YAKO, we lipa tu kinachokuhusu!
  • Kupitia kulipwa kwa kodi hiyo ndio kutakowezesha kuihuisha hiyo fire department, serikali imefanya vema kwa hili!
  • Yes, lipa hiyo kodi kwanza ndio uanze kulalamika
  • Magari mengi ni vimeo coz ni used, umuhimu wa fire extinguishers can never be over-emphasized!
  • Wananchi wengine wanalipia kupitia makato ya kodi zao mbalimbali
  • Dhana ni kitu kizuri kikiwa na ushahidi, kama unao ulete hapa!
  • Kama wameleta ni jambo jema, ili kila mwenye gari azipate kwa wakati!
  • Land cruiser ni yako kwa matumizi yako, hujashikiwa binduki kichwani kwamba lazima uimiliki!
 
Traffic wameuimbuka walizoea kudai fedha kisa huna stika shwaini kabisa!!
 
Kwa nchi hii ilivyo, ukishalipia tra itakuwa ndiyo imetoka. Hawatakuwa na time na stika tena maadam wamepata chao.
 
serikali ya hovyo siku zote huwa na mipango ya hovyo hovyo kwenye ku deal na issues and this is one of the valid examples
 
Their motive behind all this is not safety for the vehicle users it is rather earning more more money in the simplest possible manner. So, once the money is paid, nobody will make follow-up on whether the sticker has been acquired or not. That is bongo land.
 
hilo la Fire extinguisher,
ni namna ya kula pesa tu,
hicho kijimtungi hakiwezi zima moto wa gari.

Halafu ni jambo a kujianzia tu hilo.
lalamikeni mpaka kodi iondolewe,
au nyie ni punda wa dobi?
 
Bila shaka Bongo unaweza,
azima mke wa mtu kwenda kulala naye,
bado mwenye mke atasema ni utaratibu tu,
serikali inataa kujua kama mke wangu,
ni mzuri kitandani.
 
hama utuachie nchi yetu! btw, mpuzi ni wewe.. shenztyp

Huyu abdulhalim Si bure atakuwa Ni shoga tu,mwenye akili nzuri hawezi kuwa defensive hivi na kujibu kila andiko la akili toka kwa jf wakomavu.shenzi type mwenyewe na upuuzi fanyia kwako na kwa ushauri tu usionyeshe ujinga wako hadharani
 
wizi mwingine na usumbufu ukitoka TRA na risiti ukienda fire watakusumbua tena watata cha juu hii ndio tz hakuna kushangaa
 
ujumbe ni kwamba kama
hela yako haijatimia usinunue gari, otherwise unatoa wrong impression
kuwa unazo kumbe kabwela tu. duniani kote wene kipato kikubwa ndio
wanaolipa kodi kubwa..siitetei serikali lakini ukweli wa mambo ndio
huo.
Tatizo lako ni umaskini hadi akilini. Mbaya zaidi ni kuridhika kuwa utakuwa maskini daima dumu. linalojadiliwa ni jambo la msingi kwa watz wote, maana hata wewe unayebeza litakuongezea nauli...wenye daladala wakilipishwa zaidi impact itakuja kwako.
 
Back
Top Bottom