It is a MIRACLE.!.jamaa leo kwa mara ya kwanza ameona fault ktk utawala wa Kikwete!
Labda niwe devil's advocate hapa, naona kiza ni kikubwa sana hapa, either kwa kutokujua au makusudi:
- Ina uhusiano moja kwa moja na majanga ya moto, ndo maana inaitwa 'FIRE' sticker.
- Wengine wanaweka fire-extinguisher isiofanya kazi kama mdoli, hiyo shurti ikaguliwe na wataalamu kuwa iko sawa na haijaisha
- Kodi inalipwa benki itakuaje mradi wa wakubwa? wacha dhana potofu.
- Idadi ya magari sio kazi YAKO, we lipa tu kinachokuhusu!
- Kupitia kulipwa kwa kodi hiyo ndio kutakowezesha kuihuisha hiyo fire department, serikali imefanya vema kwa hili!
- Yes, lipa hiyo kodi kwanza ndio uanze kulalamika
- Magari mengi ni vimeo coz ni used, umuhimu wa fire extinguishers can never be over-emphasized!
- Wananchi wengine wanalipia kupitia makato ya kodi zao mbalimbali
- Dhana ni kitu kizuri kikiwa na ushahidi, kama unao ulete hapa!
- Kama wameleta ni jambo jema, ili kila mwenye gari azipate kwa wakati!
- Land cruiser ni yako kwa matumizi yako, hujashikiwa binduki kichwani kwamba lazima uimiliki!
huwezi kuelewa kama huna gari....
sticker haizimi moto...
unaenda pale samora unalipa hiyo sticker nao hawauzi hiyo fire extinguisher wana kupa kikaratasi cha kubandika gari hawataki kuiona
ukisafiri mikoani wapo trafic wanakusimamisha na na pembeni kuna jamaa wana mitungi ya fire wanauza
hata ukiwa nao wana kulaimisha unune yao kisa ati ule haufai !
usitetee jambo la uonevu
kodi hutozwa kwenye income
sio kila mahala inatozwa kodi
na sio sahihi wenye magari kulipa gharama za mamlaka ya fire
moto unatokea zaidi kwenye majumba, viwanda kuliko kwenye magari
inachotakiwa ni wenye magari waweke vizimio sio kuwakamua
gari sio anasa ndugu yangu
nikuulize kitu kimoja tu...kama kweli hawa watu makini katika kukusanya kodi kwa nini kwenye madini wanakua kama matahira vile(ashakum sio matusi)
- nchi ina madini kibao anakuja mtu anapewa achimbe achukue yote
- fedha zote zitokanazo na hayo madini zinakaa njee ya nchi
- fedha zinaletwa hapa ni kwa ajili ya mishahara na uendeshaji
- gold yote inawekwa kwenye hazina yao hayo makampuni yanayopewa ardhi kuchimba
- akiba ya gold ya tanzania hai ongezeki kutokana uchimbaji huu
- na juu ya hayo equipments zote za miradi hii hailipiwi kodi
- na kubwa zaidi MAFUTA yanayotumika katika mitambo yao na kuzalisha umeme nao hawalipi kodi
hawa hawalipi kodi....hawa wapo sawa..ila watanzania wanyonge tunayalipia ushuru magari yetu yanapoingia , tunalipa road licence kila mwaka , vijibiashara vyetu tunavilipa kodi lakini kama haitoshi tunalipishwa kodi ya karatasi ya fire kuzidi kukamuliwa
serikali inayojali inaweka wananchi kwanza sio wageni kwa jina la investors
waambie wakajifunze kwa Chavez wa Venezuela, wajifunze Brazil, Peru , India na hata Afrika Kusini...uwaulize kama wanatoa rasilimali zao kwa bure kama hivi
hili si la Kikwete..ni la mfumo mzima mfumo wa ubinafsi...unaojali masklahi binafsi
/