Kwema Jf Doctors?
Mpenzi wangu analalamika kuwa Kila akikutana na Mimi , baadaye hupata maumivu makali ya mgongo. Na anasema huwa inatokea kwangu Tu kabla ya hapo hakuwahi kupata shida hiyo husababishwa na nini?
Je, anapata maumivu ya mgongo eneogani zaidi chini karibu na kiumo au kati n.k?
Angalizo, eneo mnalo perform linamsaidia ku-relax, pia style of play haimpi mgandamizo mkubwa.