Malumbo wa ngullo
JF-Expert Member
- Oct 22, 2015
- 3,246
- 11,011
Easy came easy
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu salute kwako maana mahudhurio yako yamevunja records humu ndani.................😀😀😀JIFUNZE KUKUBALI MATOKEO NA MAISHA YAENDELEE.. UKIJITAKIA MAUMIVU UTAUMIA SANA MKUU...
Dah mkuu kaa we ni Me basi huo ni udhaifu mkuBWA sana...kulia lia achia Ke arifu...ME atuliagi arifu...Tafuta kitu kingine fastaa umove on! Mimi ni mwiko Demu kunikaa kichwaniii...kwanza siwezi kuwa na demu mmoja hiyo ni hatari kwa faya yangu ya akili.Over1Mimi in Me ila sio wa dar . sikuona aja kumblock sababu nilichukulia sio ugomvi
Hahaha acha utani mkuuMkuu salute kwako maana mahudhurio yako yamevunja records humu ndani.................😀😀😀
Ndugu zangu mpenzi wangu ameniacha. Sijamkosea chochote ameamua tu kuondoka mbaya zaidi ananikashifu na kunipiga vijembe kwenye WhatsApp status zake.
Mwanzo nilidhani masihara lakini naona yupo serious ameondoka ameenda kwa mwingine. Nisichojua ni kwamba nimemkosea nini nilijaribu kumuuliza akanijibu vibaya akishajibu vibaya anani text tena nimsamehe mimi na yeye hatujagombana anaomba tusiwe na ugomvi.
Kwa kweli sijui kosa langu japo sometimes tulikuwa tunagombana anasema namfatilia sana simuamini. Mimi nimemkaushia japo naumia anataka kuja kwangu kuchukua vitu vyake nikitaka nivipeleke kwake au somewhere anapoweza vichukua ataki anataka avifate kwangu nikikataa anatoa lugha Kali, kwa hili pia sielewi lengo lake .
Kingine mimi nimeamua kumsahau lakini aachi kunipiga vijembe Watsapp ananichoresha kwa watu as if mimi kwake nilikuwa nothing japo tumepitia mengi mazuri.
Kiukweli inaniumiza inaniumiza kwa kuwa kaondoka wakati bado nampenda na inaniumiza zaidi hivyo vijembe vyake wakati mimi nimekaa kimya simjibu.
Nipeni ushauri kwenye mawili
Moja, nifanyeje ili nimsahau mapema ni-move on.
Pili, kama na mimi nikilipizia nitakuwa nakosea kumrusha roho pia?
Poa na pole sanaShukran kwa ushauri
Ushauri mzuri, Mimi mwenyewe GYM imenisaidia sana mpaka Leo niko vizuri kabisa wala wala yule mschana simtaki kabisa.View attachment 521999ushauri wangu ni huu