Mwanamke ni kiumbe kingine mkuu, huwa akisema hichi chakula ni uchafu hali tena ujue, so waelewe hivyo na siku zote jitahidi kumpenda mwanamke wako kadri uwezavyo, asiwe na njaa ya upendo kamwe, kwani anaposhibishwa ndiko atakakokwenda hata ufanyaje, ndivyo walivyoumbwa!
La vinginevyo si kosa lako huenda ametekwa na nguvu za ziada za ibilisi, basi pia kubali kuwa kisicho riziki hakiliki, kwani maneno ni kama embe likidondoka mtini harirudi kamwe, iwapo kashaongea maneno mazito juu yako moyo wako utaweza kusawajika ili uweze kummiminia upendo wako kama awali, amini nakuambia kila utakapotaka kupandisha upendo juu yake moyoni mwako yatakuwa yanajirudia yale aliyotamka na psychologically hutakuwa na upendo mkuu tena kwake, so ni vema wapenzi tukigombana kama tunampango wa kuendelea kupatana tena basi tuweke akiba ya maneno, usigombane na mtu atakaehitajika na nafsi yako kama vile unagombana na mtu baki tu,
Namaanisha kuwa kwa kuongea hovyo she has crossed the redline for love,
Kubali maumivu maana yatapoa ila ukimrudia ndio hutapenda kwa uhuru tena!