Sukutua mkojo wa mwanamke aliyeko kwenye period litapoa
Tumia mkojo wako wa kwanza asubuhi kabla hujala kitu,sukutua ndani ya siku3 utaona matokeo,mimi mamito wangu nilimshauri afanye hivyo baada ya kusoma thread moja ya mzizikavu hivi navyokwambia ana zaidi ya mwaka hana maumivu kabisa naweza sema amepona.Wakuu Naumwa na Jino ile mbaya. hivi dawa ya Jino nin kama sitaki kulitoa?
Tumia mkojo wako wa kwanza asubuhi kabla hujala kitu,sukutua ndani ya siku3 utaona matokeo,mimi mamito wangu nilimshauri afanye hivyo baada ya kusoma thread moja ya mzizikavu hivi navyokwambia ana zaidi ya mwaka hana maumivu kabisa naweza sema amepona.
Mmmmhhh.... Ngoja nijaribu hii!!!
Bibie charminglady Jaribu mkojo wako mwenyewe hauna madhara kabisa.Mmmmhhh.... Ngoja nijaribu hii!!!
Mkuu Nicas Mtei Jaribu kusukutuwa mkojo wako mwenyewe mimi nilifanya mwaka 2011 sijaumwa tena na maradhi ya Meno. mkojo wako mwenyewe ni Dawa ya kila Maradhi mkojo wako mwenyewe unatibu Ugonjwa wa Ukimwi ukinywa mkojo wako mwenyewe asubuhi kabia ya kula kitu. Lakini ukitaka kunywa Mkojo wako mwenyewe itabidi ukapime Hospitali je huo mkojo wako hauna maradhi ya zinaaau mara dhi ya UTI? ndipoo waweza kunywa kwa kusukutuwa unaweza kusukutuwa bila ya kupima kwani humezi unasukutuwa na kutema kwa muda wa dakika 5 tu jaribu siku 3 hutoumwa tena na maradhi ya Meno.duh! ulijaribu? nipe matokeo