Maumivu ya jino

Maumivu ya jino

Ndugu kupanga ni kuchagua, miluzi mingi mbwa hupotea njia. Kila kitu ni imani hata ukiumwa kichwa watakushauri unywe panadol au aspirini lakini dawa namba moja ni maji na mapamziko maana inaweza kuwa stress. So imani yako ndio itakayokuponya. ukiwa na shaka wahi hospitali kwa dk. wa meno chelewachelewa utakuta mwana si wako.
 
nenda kamuone matumla...duh! Mkojo wa mwanamke kah!
 
Wakuu Naumwa na Jino ile mbaya. hivi dawa ya Jino nin kama sitaki kulitoa?
Tumia mkojo wako wa kwanza asubuhi kabla hujala kitu,sukutua ndani ya siku3 utaona matokeo,mimi mamito wangu nilimshauri afanye hivyo baada ya kusoma thread moja ya mzizikavu hivi navyokwambia ana zaidi ya mwaka hana maumivu kabisa naweza sema amepona.
 
Mmmmhhh.... Ngoja nijaribu hii!!!
 
duh! ulijaribu? nipe matokeo
Mkuu Nicas Mtei Jaribu kusukutuwa mkojo wako mwenyewe mimi nilifanya mwaka 2011 sijaumwa tena na maradhi ya Meno. mkojo wako mwenyewe ni Dawa ya kila Maradhi mkojo wako mwenyewe unatibu Ugonjwa wa Ukimwi ukinywa mkojo wako mwenyewe asubuhi kabia ya kula kitu. Lakini ukitaka kunywa Mkojo wako mwenyewe itabidi ukapime Hospitali je huo mkojo wako hauna maradhi ya zinaaau mara dhi ya UTI? ndipoo waweza kunywa kwa kusukutuwa unaweza kusukutuwa bila ya kupima kwani humezi unasukutuwa na kutema kwa muda wa dakika 5 tu jaribu siku 3 hutoumwa tena na maradhi ya Meno.

Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom