Rubi
JF-Expert Member
- Oct 5, 2009
- 1,615
- 331
Ndugu kupanga ni kuchagua, miluzi mingi mbwa hupotea njia. Kila kitu ni imani hata ukiumwa kichwa watakushauri unywe panadol au aspirini lakini dawa namba moja ni maji na mapamziko maana inaweza kuwa stress. So imani yako ndio itakayokuponya. ukiwa na shaka wahi hospitali kwa dk. wa meno chelewachelewa utakuta mwana si wako.