Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Macho nimepima na nina zaidi ya mwaka navaa miwani lakin bado kichwa kinanisumbuajaribu na kipima macho mkuu....
Nashukuru mpendwa kwa ushauri wako ila ningependa nijue n madhara gan yanayotokana na matumizi ya dawa za maumivu kwa muda mrefu?Mkuu ni vizuri kwanza ujue sababu ya kuumwa na kichwa mara kwa mara kwasababu kinaweza kusababishwa na vitu vifuatavyo
-Kuna kichwa kinauma kwasababu ya kuwa na stress au mawazo sana
-Kwasababu ya ukosefu wa maji ya kutosha mwilini (kwani maji ndio yapo kwa% kubwa ktk damu ikipungua sana mishipa inapata tabu ktk mzunguko na kusababisha maumivu)
- Kwasababu ya kushinda njaa muda mrefu
-Kutopata usingizi wa kutosha kwa siku kadhaa (hili utagundua kwani haya macho yanakuwa red)
-Pia kukaa mahali penye kelele kwa muda mrefu inaweza kusababisha
Jitahidi kujua kati ya hivyo hapo juu chako kinasababishwa na nini hasa.
ONYO: Usikimbilie dawa za hospitalini,hebu kunywa maji ya kutosha na pumzika/lala mahali palipotulia kwanza.
Nashukuru mpendwa kwa ushauri wako ila ningependa nijue n madhara gan yanayotokana na matumizi ya dawa za maumivu kwa muda mrefu?