Maumivu ya kichwa

Maumivu ya kichwa

Frank jb

JF-Expert Member
Joined
Jun 3, 2014
Posts
418
Reaction score
120
Habar zenu wapendwa, naumwa na kichwa sana kwa kipindi kirefu sana nimetumia dawa za kila aina kuzuia maumivu ya kichwa lakin haijasaidia. Kwa mwenye ushauri ama dawa anisaidie tafadhal.
 
Mkuu ni vizuri kwanza ujue sababu ya kuumwa na kichwa mara kwa mara kwasababu kinaweza kusababishwa na vitu vifuatavyo
-Kuna kichwa kinauma kwasababu ya kuwa na stress au mawazo sana

-Kwasababu ya ukosefu wa maji ya kutosha mwilini (kwani maji ndio yapo kwa% kubwa ktk damu ikipungua sana mishipa inapata tabu ktk mzunguko na kusababisha maumivu)

- Kwasababu ya kushinda njaa muda mrefu

-Kutopata usingizi wa kutosha kwa siku kadhaa (hili utagundua kwani haya macho yanakuwa red)

-Pia kukaa mahali penye kelele kwa muda mrefu inaweza kusababisha

Jitahidi kujua kati ya hivyo hapo juu chako kinasababishwa na nini hasa.

ONYO: Usikimbilie dawa za hospitalini,hebu kunywa maji ya kutosha na pumzika/lala mahali palipotulia kwanza.
 
Nashukuru mpendwa kwa ushauri wako ila ningependa nijue n madhara gan yanayotokana na matumizi ya dawa za maumivu kwa muda mrefu?
 
Mkuu nikuambie ukweli kama ni dawa ya kiasili huwa haina madhara completely labda tu ukizidisha kiwango(kwani nyingi huwa hazijawekewa namna ya kutumia kiusahii yaani amount na time)

Ukitumia dawa ya maumivu hizi za mahospitalini/viwandani itafikia mahali mwili utazizoea na hazitakuwa na nguvu tena ya kuondoa maumivu,wengine wanafikia mpk mahali pa kujidunga sindano kuondoa/kupunguza maumivu.
 
Back
Top Bottom