Maumivu ya Korodani/pumbu, kuvimba kwake na ushauri wa matibabu

Maumivu ya Korodani/pumbu, kuvimba kwake na ushauri wa matibabu

All in all, tujijengee utaratibu wa kunywa maji mengi kwa siku. Walau lita 2 hivi na kuendelea. Wengi tunaokumbwa na matatizo haya unakuta ni wavivu wa kunywa maji kiasi cha kuufanya mkojo kuwa na rangi ya njano badala ya nyeupe.
 
Na maumivu ndan kwe kinena sio korodan,, korodan haziumi ziko poa ila kinena ndan sijui ndio ngiri yenyew na napata maumivu sana haswa nkifany Mazoez kama kukimbia nakua kama nimeamsha maumivu vile kunakua kama kunawak moto ndan kwa ndan hili ni tatizo gan ngiri nisaidie ushaur wa matibabu nshakunywa shubiri sana haisadii inapunguza tu then inarud nkianza tu Mazoez
 
Uende upige ultrasound tsh 20,000 tu.
 
Nimewaza pia kuhusu testicular torsion but maumivu ya hiyo kitu ni severe sana na ngumu kuvumilika, hata muda wa kuandika hapa sidhan kama angepata.. pdx yang ni epididymo orchitis, ddx inguinal hernia, na pia muhimu kufanya scrotal Uss, Fbp for neutrophill level, then physical examination ifanywe kwa Uzuri, nadhan dx itapatikana.. kwa maana hiyo muhimu aende hospital

Sent using Jamii Forums mobile app
Hospital gani kwa dar inaweza kwa nzuri kwa vipimo hvyo?
 
Jamani mficha maradhi kifo humuumbuaa.. kama kuna mtu anaweza nisaidia kufahamu nini cha kufanya kupata tiba.. maana babbu yangu anamiaka 73 anasumbuliwa na hilo taizo sasa nkampeleka hosptal wakasema ni bacterial infection wakampa dawa zikaisha ila kama bado tatizo analihisi.nani anamfahamu urologist mzuri nipate huduma.?Msaada tafadhali
Vipi ndugu yako ameshapona hilo tatizo?
 
Wadau, nnaomba kwa walioeleza matatizo haya wanipe ushuhuda ili nipitie njia hizo,

1. Korodan moja ya kulia imeanza kujaa naona imeizidi ile ya kushoto,

2. Kuna kamshipa nakasikia kwa mbali asubuh nikiamka kanavuta upande huohuo wenye ongezeko, kanauma kwa mbaaali

3. Mashine imefeli kusimama na sasa wife namuangalia tu kama picha,

Naomba kufahamu ni nini hiki na wenzangu walioeleza tatzo kama hili je? Walipata matibabu? Na je? Ntaweza kurud katika hali yangu? Maana ndo kwanza nataka nitengeneze familia. Naomba ushauri wenu,

Mungu awabariki sana ndugu zangu....
Mkuu hii shida ulipata suluhisho. Tafadhali naomba msaada wako na mimi
 
Back
Top Bottom