malembeka18
JF-Expert Member
- Jan 26, 2018
- 3,266
- 3,698
Kumbe unajua ugonjwa sasa ya nini uhangaike.
Mkuu ninetoka maabara mda huuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kumbe unajua ugonjwa sasa ya nini uhangaike.
Kwanini unaiita maabara uchwara.?
Mkuu wee ni afande nani!? Sio kwa maswali hayo...😀Kwanini unaiita maabara uchwara.?
Ila we jamaa [emoji3]Kwanini unaiita maabara uchwara.?
Kwenye mind yake ameshatengeneza tatizo lake mwenyewe hivyo anategemea akienda huko aambiwe kile ambacho kiko kichwani mwake.Mkuu wee ni afande nani!? Sio kwa maswali hayo...[emoji3]
Kwenye mind yake ameshatengeneza tatizo lake mwenyewe hivyo anategemea akienda huko aambiwe kile ambacho kiko kichwani mwake.
Singida sehem gan mkuuNiko singida mkuu..ndio nataka kwenda jumatatu nkajue ilanimeina nianzie hpa kupata mawazo kidgo
Sent using Jamii Forums mobile app
Maabara gani mzee hiyo tena?? Ipo wapiHapana sina tabia yakujichua ila mda huu nimetoka ktk kamaabara uchwara nimeambiwa na UTI
Sent using Jamii Forums mobile app
Pole sana ndugu, MI nilikuwa na tatizo ilo ilo korodani moja kuuma.Wakuu nimekuja kwenu nina tatizo la korodani moja kuuma ni wiki mbili sasa haya maumivu nataka kwenda hospitali Jumatatu nionane nadaktari alie specialize katika nini..pia nipeni ushauri watiba ya awali kabla sjaenda hospitali
Sent using Jamii Forums mobile app
sawa sawa mkuuMkuu wahi hospital na ikiwezekana uonane na doctor wa kiume. Usisubiri mpaka mamb yawe makubwa uambiwe umechelewa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mi ilikua inanitokea nisipo pga mzigo muda mrefu ...zilkua zinauma baada ya kujua shida....aahh nimesahau kabisanimekua tatizo takribani mwaka hivi huwa naumwa na pumbu mpaka hupelekea hata ukishika zinauma hata kubana miguu ni shida ila baada ya muda narudi kwenye hali yangu ya kawaida.lakini hivi karibun naona pumbu moja inakua kubwa kuliko nyingine pasipo na maumivu yoyote .
Kwenu ndungu zangu naomba ushauri wa nini cha kufanya? na dawa gani? inaweza kusaidia kutibu hili tatizo
YOUR ADVICE IS VERY IMPORTANT
THANKS
Sent using Jamii Forums mobile app
daaa ko hukuenda hata hospitalMi ilikua inanitokea nisipo pga mzigo muda mrefu ...zilkua zinauma baada ya kujua shida....aahh nimesahau kabisa
Sent using Jamii Forums mobile app