Maumivu ya Korodani/pumbu, kuvimba kwake na ushauri wa matibabu

Maumivu ya Korodani/pumbu, kuvimba kwake na ushauri wa matibabu

hiyo inatokeaga!!me ilishawahi kunikuta na nilichemsha ndulele na miziz yake haijawahi kujitokeza mpka leo ni muda wa miaka sita sasa
hii mara nyingi husababishwa na kazi ngumu mkuu
 
Wakuu nimekuja kwenu nina tatizo la korodani moja kuuma ni wiki mbili sasa haya maumivu nataka kwenda hospitali Jumatatu nionane nadaktari alie specialize katika nini..pia nipeni ushauri watiba ya awali kabla sjaenda hospitali

Sent using Jamii Forums mobile app
Pole sana ndugu, MI nilikuwa na tatizo ilo ilo korodani moja kuuma.

Nilikuwa na bacteria korodani moja ikawa inauma, unatumia dawa nafuu unapata ghafla maumivu yanaendelea. Maambukizi kwenye koradan kama bacteria wanachukua Muda mrefu kutoka.

Ushauri wangu usiende kwenye hospital 1. Nilipigwa ultrasound ya scrotum "kwenye mfuko wa korodani" majibu yalikuwa tofauti, nilimtumia zaidi ya laki 2 kwenye hospital fulani kubwa hapa nchi majibu yake tofaut, nikaenda hospital nyingine wakanichek kwenye kipimo hicho cha Ultrasound ya scrotum ndo wakaniambia Kuna infection bacteria. Niliangaika kwa Miez 8
 
nimekua tatizo takribani mwaka hivi huwa naumwa na pumbu mpaka hupelekea hata ukishika zinauma hata kubana miguu ni shida ila baada ya muda narudi kwenye hali yangu ya kawaida.lakini hivi karibun naona pumbu moja inakua kubwa kuliko nyingine pasipo na maumivu yoyote.

Kwenu ndungu zangu naomba ushauri wa nini cha kufanya? na dawa gani? inaweza kusaidia kutibu hili tatizo
YOUR ADVICE IS VERY IMPORTANT
THANKS

Sent using Jamii Forums mobile app
 
nimekua tatizo takribani mwaka hivi huwa naumwa na pumbu mpaka hupelekea hata ukishika zinauma hata kubana miguu ni shida ila baada ya muda narudi kwenye hali yangu ya kawaida.lakini hivi karibun naona pumbu moja inakua kubwa kuliko nyingine pasipo na maumivu yoyote .
Kwenu ndungu zangu naomba ushauri wa nini cha kufanya? na dawa gani? inaweza kusaidia kutibu hili tatizo
YOUR ADVICE IS VERY IMPORTANT
THANKS

Sent using Jamii Forums mobile app
Mi ilikua inanitokea nisipo pga mzigo muda mrefu ...zilkua zinauma baada ya kujua shida....aahh nimesahau kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nenda Hospitali wakakufanyie Ultrasound ya scrotum waangalie kama una testicular torsion....
 
Back
Top Bottom