Maumivu ya Korodani/pumbu, kuvimba kwake na ushauri wa matibabu

All in all, tujijengee utaratibu wa kunywa maji mengi kwa siku. Walau lita 2 hivi na kuendelea. Wengi tunaokumbwa na matatizo haya unakuta ni wavivu wa kunywa maji kiasi cha kuufanya mkojo kuwa na rangi ya njano badala ya nyeupe.
 
Na maumivu ndan kwe kinena sio korodan,, korodan haziumi ziko poa ila kinena ndan sijui ndio ngiri yenyew na napata maumivu sana haswa nkifany Mazoez kama kukimbia nakua kama nimeamsha maumivu vile kunakua kama kunawak moto ndan kwa ndan hili ni tatizo gan ngiri nisaidie ushaur wa matibabu nshakunywa shubiri sana haisadii inapunguza tu then inarud nkianza tu Mazoez
 
Uende upige ultrasound tsh 20,000 tu.
 
Hospital gani kwa dar inaweza kwa nzuri kwa vipimo hvyo?
 
Vipi ndugu yako ameshapona hilo tatizo?
 
Mkuu hii shida ulipata suluhisho. Tafadhali naomba msaada wako na mimi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…