Magical power
JF-Expert Member
- Sep 27, 2022
- 2,158
- 5,626
Maumivu ya MAPENZI hayana msaidizi hutembea kwenye mishipa ya damu kabisa, unaweza kulala mwili tu lakini akili na moyo zikakesha zikitafuta utulivu na usipatikane
Unaweza kuongea pekee yako na yakakupelekea kuona kama hukuwa na sababu ya kuzaliwa na huna thamani yoyote tena. Maumivu yanatesa
Maumivu ya MAPENZI huwa kama moto uliozimwa kwa kufunikiwa maana JOTO lake hubaki kwenye majivu likiendelea kufukuta ndani kwa ndani hata kama moto umeshazimik
Maumivu ya mapenzi yasikie kwa watu tu au kwenye masimulizi na yaone kwenye movie tu.