YeahPole sana. Ukizingatia life lilivyo gumu na mazingira ya kuishi halafu hali hii ya maumivu ya mapenzi ushauri na suluhisho ni moja tu commit suicide jiue yote yataisha utapumzika na hutateteseka tena milele believe me.
Hii ni elimu ya saikolojia mkuu, wengi hatuna huu ufahamuWatu huwa wanaamini wanaumia na kitendo ambacho kimefanywa na mtu mwingine, lakini hapana kiuhalisia watu wanaumia na FIKRA zinazotafsiri hicho kitendo hicho, hivyo unaweza chagua kuumia au kutokuumia kwa kubadilisha FIKRA zako juu ya kitendo ambacho kimefanywa na mtu mwingine, adui wa maumivu anatoka kwenye FIKRA zako mwenyewe zinazotafsiri kitendo ila sio kwenye kitendo chenyewe kilichofanywa, chukulia huu mfano watu wawili wamewafumania wake zao, mmoja akaweka FIKRA zake kwa dunia imejaa watu ambao sio wakamilifu hivyo akachagua kumsamehe mke wake huyu mme hataumia wala kuteseka na maumivu kabisa, ila mwingine akachagua kuwa na FIKRA kuwa kitendo alichofanya mke wake ni kibaya sana anatakiwa kupewa adhabu kali na kuchagua kushikiria ilo kosa kwenye FIKRA, hivyo matokeo yake atateseka muda wote kutokana na FIKRA zake mwenyewe zitazopelekea hasira, visasi na magonjwa yasiyoambukiza, kwa tafsiri ya mfano huo tiba ya maumivu ipo kwenye akili yako mwenyewe kwa maana kila kitu kinaanzia kwenye FIKRA zako hivyo maamuzi kuumia au kutokuumia unayo mwenyewe kama umechagua kuumia utaumia ipasavyo FIKRA zitakuletea kila hisia za maumivu mpaka unyooke si umekubali kuumia kama utaki kuumia badilisha FIKRA zako kwa kuangalia tunaishia dunia ya watu ambao sio wakamilifu maumivu hayatakusogelea kwenye FIKRA zako. Adui yupo kwenye FIKRA zako sio kwenye kitendo ulichofanyiwa
Baki na mawazo Yako usinilazimishe Kwa kitu ambacho kwangu hakipoSio kihivyoo wewe. Between the lines umepigwa
We jamaa haufai 😆😆Denzel Washington....
Everyone want to know me ...😂😂😂😂😂😂😂
Happ nishamuweka mtu bisi bisi ya koo
Pole sana mkuu kudondoka si kuanguka songa mbeleHiyo hali ilinipata ila sikuelewa ni nini, ila muda ni mwalimu mzuri sana,sasa hivi nimeanza kupona ila siyo kiviile,maana bado nikikumbuka yale matukio umeme unaniisha.
Daaaaa!! haya mapenzi kwanini lakini? Na aliekuumiza wala hajali kabisaaMaumivu ya MAPENZI hayana msaidizi hutembea kwenye mishipa ya damu kabisa, unaweza kulala mwili tu lakini akili na moyo zikakesha zikitafuta utulivu na usipatikane
Unaweza kuongea pekee yako na yakakupelekea kuona kama hukuwa na sababu ya kuzaliwa na huna thamani yoyote tena. Maumivu yanatesa
Maumivu ya MAPENZI huwa kama moto uliozimwa kwa kufunikiwa maana JOTO lake hubaki kwenye majivu likiendelea kufukuta ndani kwa ndani hata kama moto umeshazimik
Maumivu ya mapenzi yasikie kwa watu tu au kwenye masimulizi na yaone kwenye movie tu.
Kaza moyo mkuu utashindaHali hiyo ndiyo ninayopitia sasa hivi mapenzi yanauma si utani
Mapenzi hayaumizi ila FIKRA zao ndo zinawaumiza na maamuzi ya kutokuumia yapo kwenye FIKRA zao wenyewe, uchepukaji wa mwenza hauumizi kinachoumiza ni FIKRA za mhusika zinazotafsiri hicho kitendo, hakuna hisia za maumivu pasipo kuwepo FIKRA za maumivu, namna nzuri ya kukimbia maumivu kwenye FIKRA ni kukubali uhalisia wa dunia hakuna binadamu aliyemkamilifu ila watu wengi wanapingana na huu uhalisia wa dunia wametengeneza watu wao kwenye FIKRA kuwa hawatabadilika kamwe.Mapenzi, Mapenzi, Mapenzi. Hayo madude yapo overrated kinyama. Hivi inakuwaje yaani? Au ni emotional immaturity.
Every man must experience this one time kwenye maisha yake, ili imjenge mbeleniHayo ni mapito katika kuelekea kua mwanaume kamili.