Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hiyo sio ANGINA kama mdau alivyosema, Angina unapata maumivu kwenye moyo. Hizo ni NEUROPATHIC PAIN au FIBROMYALGIA.
Tafuta dawa inaitwa LIGABA ( pregabalin capsules) 75 mg, one capsule twice daily (BID) au ni PM
Asante na nilishawahi kupima kipimo cha moyo nikaonekana sina tatizo ila bado maumivu yapo palepale naenda leo kwa dr
tumia calcium phosphate vidonge utumie.Mkuu kwa pregabaline sikushauri kwan ukimeza unakuwa km zombiesometimes nikiwa nimekaa nikainamisha kichwa nyuma nasikia maumivu kwenye shingo na nikipagusa kwenye shingo katikati panauma nimetumia sana mazoezi ya CERAGEM