Maumivu ya mgongo kushoto begani

Maumivu ya mgongo kushoto begani

Dinam

Senior Member
Joined
Jan 19, 2011
Posts
116
Reaction score
28
Dear jf members

Nina maumivu ya mgongo for long time nimejaribu kutumia mazoezi ya CERAGEM lakini siponi naomba kwa anaejua zaidi yaani panavuta na nikipagandamiza panauma kama mtoki vile naomba msaada wenu
 
Umeshawahi kupima BP? Nenda kwanza ukapime uje tena tukushauri. Probably ikawa ni ANGINA!
 
Hiyo sio ANGINA kama mdau alivyosema, Angina unapata maumivu kwenye moyo. Hizo ni NEUROPATHIC PAIN au FIBROMYALGIA.
Tafuta dawa inaitwa LIGABA ( pregabalin capsules) 75 mg, one capsule twice daily (BID) au ni PM
 
Asante na nilishawahi kupima kipimo cha moyo nikaonekana sina tatizo ila bado maumivu yapo palepale naenda leo kwa dr
 
sometimes nikiwa nimekaa nikainamisha kichwa nyuma nasikia maumivu kwenye shingo na nikipagusa kwenye shingo katikati panauma nimetumia sana mazoezi ya CERAGEM
 
tumia calcium phosphate vidonge utumie.Mkuu kwa pregabaline sikushauri kwan ukimeza unakuwa km zombie
 
Back
Top Bottom