Nashukuru Mkuu kwa ushauri wako, maumivu ninayoyapata zaidi ni kwenye ball joint na misuli pia inavuta sanaLumbargo inatokana na neno lumbar ambayo ni sehemu ya mgongo
Lumbargo Means pain in lumbar region or pain at the lower part of the back.
Ni tofauti na miguu, na kama kama umefanya Xrays hakuna shida inaeza kuwa Strain&Sprain jitahidi uwe unakanda mguu na barafu
Ukiwa na Shida yoyote ileWadau habari za saa hizi, nasumbuliwa na mguu wa kulia ni miaka miwili sasa, mi driver wa magari makubwa nimekuwa nikiendesha kwa miaka karibu 30, sijawahi kupata ajali yyte mpaka sasa lakini napata maumivu makali sana kwenye mguu wa kulia, nimepiga xray hamna kitu, ila nikitumia dawa ya diclofenac napata nafuu kidogo kama siku mbili halafu hujirudia tena, Wadau naombeni ushauri wenu, nitumie dawa gani